Wallahi wabillahi sijawahi kamwe!

Kichwa cha habari ni lugha gani nimeshindwa kuelewa?msaada
 
Nadhani kama ulikuwa na lengo la kupunguza PM's. Sasa umeziongeza.
Hufai kuwa afisa masoko.
 
Hawa wanaojisifia ukiwafuatilia na ukiingia nao ndani unakuta kitu ''BWANGA'' sasa hapo unaweza kumuomba uingize mikono upige makofi au utamsikia anakuambia ingiza Goti basi Honey nipate raha oi.
 
dah! umejitetea kwa kiwango cha juu sana. wamekusikia. wakiendelea weka list yao hapa ili waache mara moja.

 
Hata mi sijawahi kama vipi njo huku ili na sisi tuwahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…