umenikumbusha home ilikuwa marufuku kuvaa taulo bila kanga!Mila na desturi zetu za zamani zilitujengea kuwa na heshima, adabu na utiii. Leo tumeziona za kishamba na tumefata ambazo zinatuondolea heshima na kukosa adabu. Tumewafanya watoto wapoteze maadili yaliyokuwepo. Siku hizi mtoto wa kike (aliyekuwa) kutembea na kanga moja mbele ya baba sio shida, mtoto wa kiume (aliyebalehe) kuvaa taulo mbele ya dada zake sio shida..... mambo ni mengi.... kwa kweli tuko nje ya utamanduni wetu.
umenikumbusha home ilikuwa marufuku kuvaa taulo bila kanga!
na safari yako iwe ni ya kutoka au kwenda bafuni ukitokea chumba cha kulala!
HahaaaaaaSasa watoto wa leo ni balaaa... nimeshashuhudia kamtu kanachungulia koridoni kama kuna mtu kisha kanatoka bafuni uchiiii kanakimbilia chumbani ... ukliuliza kanasema hakukuwa na mtu... nyumba ya familia! jamaniiii
Kucoment nako ni buree kunakufanya mpaka unaandika pumbaAisee,hata kama kuandika thread ni bure sasa imekuwa....
usifute ni mada nzuri na yenye manufaambaya enh?
acha niidelete mwaya!
Hahahahaha malezi ua miaka hii ni majanga na huu utandawazi ndio kabisaaaSasa watoto wa leo ni balaaa... nimeshashuhudia kamtu kanachungulia koridoni kama kuna mtu kisha kanatoka bafuni uchiiii kanakimbilia chumbani ... ukliuliza kanasema hakukuwa na mtu... nyumba ya familia! jamaniiii
Hahahahaha malezi ua miaka hii ni majanga na huu utandawazi ndio kabisaaa
yani we acha!Sasa watoto wa leo ni balaaa... nimeshashuhudia kamtu kanachungulia koridoni kama kuna mtu kisha kanatoka bafuni uchiiii kanakimbilia chumbani ... ukliuliza kanasema hakukuwa na mtu... nyumba ya familia! jamaniiii