Waliyoyafanya wazazi wetu kwenye kutulea na yale tunayoyafanya sisi kwenye kulea watoto wetu

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,687
23,568
Leo sisi ni wazazi wa watoto wetu lakini jana tulikuwa watoto wa wazazi wetu. Tutafakari jana yetu na leo yao!
Kipi unaona wazazi wako walifanya kwako lakini wewe hufanyi kwa wanao au wanao hawafanyi kwako!

Inakuathiri kwenye malezi /makuzi ya wanao. Inakusaidia kwenye maalezi/makuzi ya wanao

Mamangu alikuwa ana msemo "not in my house not when i am alive" Ilitushape flan hivi! Inaturudia mpaka ukubwani sasa kiasi kuna vitu najikuta kabisa siwezi kufanya sauti yake inaleta mwangwi hivi! Lakini sijawahi waambia wanangu kauli hii!

Sina sababu yoyote ya kimsingi but naona kama ilibidi niwe nawaambia! Well hebu leo tuongee kuhusu watoto na kusahahu baba na mama zao kidoooogo!

Ruksa pia hata watoto walio na wazazi wanaona kabisa mi nawish babangu/mamangu angekuwa ananikemea hivi au anasema hivi kwangu labda nisingekuwa hivi(najua tuna teenagers humu)

Inaweza saidia mtu fulani mahala fulani!
Karibu!
 
Mila na desturi zetu za zamani zilitujengea kuwa na heshima, adabu na utiii. Leo tumeziona za kishamba na tumefata ambazo zinatuondolea heshima na kukosa adabu. Tumewafanya watoto wapoteze maadili yaliyokuwepo. Siku hizi mtoto wa kike (aliyekuwa) kutembea na kanga moja mbele ya baba sio shida, mtoto wa kiume (aliyebalehe) kuvaa taulo mbele ya dada zake sio shida..... mambo ni mengi.... kwa kweli tuko nje ya utamanduni wetu.
 
umenikumbusha home ilikuwa marufuku kuvaa taulo bila kanga!
na safari yako iwe ni ya kutoka au kwenda bafuni ukitokea chumba cha kulala!
 
Kuna wazazi wao ndo wanachangia kuharibu watoto wao kwa malezi ya upendeleo kuna familia moja ina watoto 4watatu ni wa ndoa mmoja ni wa njee wa baba lkn,mama aliwabagua sana hasa yule wa baba alimnyanyasa mno ila wale watatu aliwapenda sana kiasi kwamba hata wakosee hakuweza kuwaonya wamesoma hadi vyuo matokeo yake hawana adabu kwa wazazi yaan wao sasa ndo wenye saut kweny nyumba na mama anaumia lkn ndo bomu lake akilitengeneza kwan wamekuwa hawana adabu hdi kwa ndugu na majirani yule mtoto wa kambo alifukuzwa kwenye familia kajikalia mbali anawaangaliatu wanavyotoana macho so tuwapende watoto wetu lkn tuwafanye watambue nini maana ya heshima
 
umenikumbusha home ilikuwa marufuku kuvaa taulo bila kanga!
na safari yako iwe ni ya kutoka au kwenda bafuni ukitokea chumba cha kulala!

Sasa watoto wa leo ni balaaa... nimeshashuhudia kamtu kanachungulia koridoni kama kuna mtu kisha kanatoka bafuni uchiiii kanakimbilia chumbani ... ukliuliza kanasema hakukuwa na mtu... nyumba ya familia! jamaniiii
 
Hahaaaaaa
 
Hahahahaha malezi ua miaka hii ni majanga na huu utandawazi ndio kabisaaa
 
Ulezi umekuwa mgumu sana, kizazi kinachoendelea sijui kitaleaje watoto wao. Maadili kwishney kabisa. Hata hivyo bado wazazi wa leo wana nafasi ya kurekebisha kidogo kidogo
 
Sasa watoto wa leo ni balaaa... nimeshashuhudia kamtu kanachungulia koridoni kama kuna mtu kisha kanatoka bafuni uchiiii kanakimbilia chumbani ... ukliuliza kanasema hakukuwa na mtu... nyumba ya familia! jamaniiii
yani we acha!
lakini nafkr sisi tumekuwa too busy kiasi kuna vitu tunaona tu ni sawa au hata hatujui kama vinatokea majumbani mwetu!
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom