Walitaka kuniuwa, asema Sheikh Farid

Wandugu ndio maana mnaambiwa mwende shule kwanza!! Hebu tazama hata habari yenyewe ilivyokaa. Duu!!

sasa hao ndio wasomi wao!! wanaandika kama class 2,hawakawii kusema Dr ndalichako anawafelisha.Angalia matundu mawili ya risasi ya chini yalivyo fanana!! purely copy and paste. huyu Farid ni hatari kuliko ukoma.Anatafuta sympathy ya jamii na anawapta kwasababu hawana shule ya kuwasaidia kupembua mambo.
 
Hivi huyu si mmoja kati ya waliowatesa mababu zetu enzi za utumwa?aende kwao akahamasishe upuuzi wake,hebu amkeni nyie watu!!!!!!!acheni kudanganywa na hawa wajinga
 
Shime gv ili swala na vuguvugu zinazoendelea litafutwe kiini chake na litafutiwe ufumbuzi haraka sana, maana tumesoma makundi mbalimbali yalianza kama hivi, mwishowe nchi aikaliki, mf bhoko haram walidharauliwa sasa wamekuwa hatari kubwa.

Nashauri serikali na watanzania wote kwa ujumla tushikamaje kuondoa kirusi iki, maana jambo ili likikomaa litatugalimu wote.
 
Kizazi cha wajinga, hukua na kuzeeka kijinga! Go to school u pipo acheni kufanya upumbavu! Nonsense
 
Jama hii ya kutaka kum (sacination) Sheh Farid itakuwa ni mipango ya Usalama wa Taifa wakishirikiana na vigogo ndani ya Serekali zote mbili ya Muungano(Bara) na ya Zanzibar kwa wale wenye kupinga Serekali ya umoja wa kitaifa na kupinga Uamsho kwa kisingizio cha kupinga Muungano.

Hili liko wazi na lina mkono wao nazani Wazanzibar list za watu hawa tunazijuwa ninani na nani na tunazo.

Hawa ni wale wenye kutumia mabavu na nguvu ya Dola vibaya , lakini ikiwa wanataka kuvuruga amani ya nchi na utulivu uliopo hivi sasa Zanzibar basi wajuwe chombo kikizama na wao wamo wala hawatoki.

Hawa hawajafahamu kuwa dunia ya leo sio ile ya jana , ufanye utakavyo uachiwe tu, tutatumia nguvu yetu ya people power juu ya wamaya hawa.

Mungu ibariki Zanzibar na viongozi wetu wote wa Uamsho.

(sacination)
 
Kwa kipindi changu chote cha Umri wangu takriban 46 Yrs haijapatapo kusikia Znz kuna mgooro wa KIDINI. Mi nilikuwa najua kulikuwa na migogoro ya Kisiasa yaani CCM na CUF.

Sasa kwa mtu makini ukijiuliza kulikoni kuwe na mgogoro huu wakti zaidi ya 99% ni waislam naona kuna namna hapo.

Kwa mujibu wa Historia migogoro ya kidini ilikuwa itokee Tanganyika na si Znz. Kwani wao hilo ni kovu la ukoloni wa waingereza. Kenya na Uganda walitumia ukabila na Tanganyika walitumia Udini katika kuwatawala.

Nafikiri na kushawishika kusema haya ni madhwara makubwa sana ya Muungano. Nasimama kwa upande wa Msimamo wa waZnz kuwa ni BORA MUUNGANO WENU UANGALIWE UPYA ILI USILETE MADHWARA KWA JAMII ZOTE.

Jamaa kafanana na wale wanaojifichaga mapangoni kule Afghanistan... Talebans
 
Kwa kipindi changu chote cha Umri wangu takriban 46 Yrs haijapatapo kusikia Znz kuna mgooro wa KIDINI. Mi nilikuwa najua kulikuwa na migogoro ya Kisiasa yaani CCM na CUF.

Sasa kwa mtu makini ukijiuliza kulikoni kuwe na mgogoro huu wakti zaidi ya 99% ni waislam naona kuna namna hapo.

Kwa mujibu wa Historia migogoro ya kidini ilikuwa itokee Tanganyika na si Znz. Kwani wao hilo ni kovu la ukoloni wa waingereza. Kenya na Uganda walitumia ukabila na Tanganyika walitumia Udini katika kuwatawala.

Nafikiri na kushawishika kusema haya ni madhwara makubwa sana ya Muungano. Nasimama kwa upande wa Msimamo wa waZnz kuwa ni BORA MUUNGANO WENU UANGALIWE UPYA ILI USILETE MADHWARA KWA JAMII ZOTE.

tunasubiri tugawane gesi ya zenj kwanza mpwa ndio turudi kungalia huo muungano
 
Sheikh Farid analalamika alitakuuwawa kwa kupigwa 0713!!sheikh tulia unyolewe! ili iwe fundisho kwa wajinga wengine wanaochezea mfumo kristo.
 
wana kaziii!!! na kwanini hawajamuua??????? hiyo habari yenyewe ilivyo andikwa mmh!! kweli hii ni elim ahela.
 
mimi sio mwislam lakini kristo simpendi sababu mimi sio myahudi mfalme wangu mimi ni kikwete japo na yeye simpendi pia.
 
Kama hizi harakati ni za kudai Zanzibar huru (Nchi) away from Muungano kwanini tena zinahusishwa na dini?

Huyu sheikh si angeanzisha chama huko Zanzibar halafu waendelee na harakati zao kisiasa mbali na nyumba za ibada.
 
Back
Top Bottom