Jamani uamsho ni unafiki mtupu hili risasi wala halinishingazi; hawa watu wanawatumikia mabwana zao wa uarabuni, hilo linaeleweka wazi; tatizo ni lilopo ni kuwapa ajira vijana hao wote wanaokimbilia uamsho hawajui wanachokimbilia.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Chama
Gongo la Mboto DSM