Walipokamatwa...

bongo-live

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
1,017
918
1473148847304.jpg
1473148874892.jpg

Baada ya kaz
1473148914666.jpg
1473148937126.jpg
 
Huyo kaanzia na viroba pori
hah hah hah inawezekana maana tusker mbali na mikojo stimu hakuna kabisa huku kitaa tunaanzia za promosheni then tunabadili gia kwa kujaribu kumuachanisha "jamaa mikono" hapo ndio mambo yanaenda sawa
 
Mulhat, what is your relationship status? Dizain flan kama nimekuelewa! Njoo tuyajenge yetu bac...
hahaha umeelewa nini kiongozi.........i was born to be single yaani sijatoka kwenye ubavu wa mtu............... mimi mwenyeweeee
 
hahaha umeelewa nini kiongozi.........i was born to be single yaani sijatoka kwenye ubavu wa mtu............... mimi mwenyeweeee
Jamanii, nahisi kama vile ulichomolewa kwenye mbavu zangu... Yani nimekacheki hako kapicha kako hapo najihisi kuchanganyikiwa... Basi na nikiangalia vile unapangilia maneno unaonekana ni mwanamke mstaarabu na anayejielewa... Nicheki basi inbox tupange yetu ya maisha Mulhat Mpenzi...
 
hahahahaha daaaah utaniweza wewe kweli daaaaaaaaa nimeshindikana mkuu ,,,,, jeuri hatareee

nakushauri utafute mwingine
 
hahahahaha daaaah utaniweza wewe kweli daaaaaaaaa nimeshindikana mkuu ,,,,, jeuri hatareee

nakushauri utafute mwingine
Waliokushindwa hawakujua namna ya kukuhandle... Am sure wewe mwenyewe utaadjust and you will finally come to terms that am a man meant for you...
 
Hiyo picha ya hao wanafunzi itolee ufafanuzi mkuu..
maticha ndan ya shule moja mkoan kilimanjaro waliwakamata wanafunz wa kidato cha tatu wakicheza " too hard on each other" hivo baadae wakawapa kichapo cha hatar. Jion yake maticha walikuwa na uchov wa hatar ivoo ikabid wapige msosi mzito na tusker za kutosha..
 
kuna sura (topic) inaitwa UTUNGAJI wewe ni miongoni mwa chipukizi. picha hazina ushirikiano wa matukio, visa na maudhui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom