Walipokamatwa...

Walipokamatwa...

Duh hio picha ya pili denti anakula mikwaju hao wenziwe ndio wamenichekesha sana. Lakini Uniform mbona haziendani wanayocheza wamevaa nyekundu na kaki na hii wanakula mpoko wamevaa white?
 
Hiyo picha ya mwisho inafanana kama na yule jamaa wa mfalme wa bongo all social media ina Tanzania.
 
maticha ndan ya shule moja mkoan kilimanjaro waliwakamata wanafunz wa kidato cha tatu wakicheza " too hard on each other" hivo baadae wakawapa kichapo cha hatar. Jion yake maticha walikuwa na uchov wa hatar ivoo ikabid wapige msosi mzito na tusker za kutosha..
Walimu tutakufunga wewe....post ya kichochez hii
 
Back
Top Bottom