Walipa Kodi Tusiombee Ikulu kuona hii kitu!

Walipa Kodi Tusiombee Ikulu kuona hii kitu!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,930
Reaction score
18,951
Yote ya nini hayo mbona kufa ni kitu kidogo sana?
 
Raisi hajae atatumia hii

Eeh!!! Ajae kwani huyu wa sasa na anavyopenda anasa sidhani kama hii hataipotezea lazima waje na kisingizio cha usalama wamewashauri waitumie hiyo kwa ajili ya usalama madhubuti wa Rais


Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
Duuuh hiyo ndo inauzwa mia ngapi wajameni maana hata estimation za bei za magari niko shallow kweli kweli
 
laiti mambo yasingekuwa shaghalabaghala a.k.a kuwa na mafisadi tusingekuwa na wasiwasi kuona gari kama hilo linanunuliwa...kama ambavyo wanafanya wazee wa mafuta 'Dubai'
 
Back
Top Bottom