Waliowahi kununua magari Zanzibar na kuleta Dar msaada wenu tafadhali

Me nakumbuka nilinunua gari Zenji na nililipa wakaniletea gari mpk ofisini na namba ya Bara waliniwekea kabisa. Mie nilienda na kulipia pesa waliyohitaji kwisha mchezo mengine yote walifanya waliyoniuzia
Hii imekaa vizuri zaidi
 
Habari zenu wadau,

Kwa wale wazoefu ambao wameshwahi kununua gari Zanzibar na kuleta Dar. Naomba kujua process zake zipoje.

Natanguliza shukrani.
Mara ya mwisho nilinunua Gari Zanzibar ilikuwa 2009, Nilienda nikapita kwenye showroom nikachagua gari, nikalipa na kumkabidhi gari yeye, nikaenda kulichukua Central full stop, likiwa na kila kitu.
 
Ukiagiza gari Zenji sasa hivi jiandae kupigwa tu hiyo gari kama ni milioni saba
Bandarini ushuru utapigwa milioni nne
That means unatakiwa uwe na 10M+
Sasa tabu hiyo si bora uchukue showroom za hapahapa Bongo tu.
 
Ukiagiza gari Zenji sasa hivi jiandae kupigwa tu hiyo gari kama ni milioni saba
Bandarini ushuru utapigwa milioni nne
That means unatakiwa uwe na 10M+
Sasa tabu hiyo si bora uchukue showroom za hapahapa Bongo tu.
Duh
 
Ila kwa zanzibar kuna unafuu mkubwa sana maana naona hata magari yao yanayounzwa inster bei ni rahic sana
 
Back
Top Bottom