Waliowahi kulipwa na bima baada ya kuibiwa gari naombeni ushauri

chapaswa

Senior Member
Mar 5, 2016
100
213
Wakuu niliibiwa na gari mwaka jana mwez wa kumi na mbili, gari ilikua na bima kubwa. Niliwasilisha taarifa yqngu bima, na uchunguzi wa polisi umekamilika lakini hakuna kilichobainika mpaka sasa.

Bima wana taka kulipa ila kusema kweli sikubaliani na namna bima inavyotaka kunilipa kwani, gari yangu ndo ilikua na siku mbili tu nchini, naomba kujuzwa ni deduction zipi zinatolewa, na kama kuna muuongozo wowote unaonesha namna ya ulipaji nitashukuru sana.

Hii bima niliyokata wanasema dhamani ya gari watalipa kulingana na CIF ya TRA, then wanajumlisha na kodi ya TRA. Wakati gharama ya kununua na CIF vinatofautian zaidi ya $1500.

Naombeni msaada kabla sijachukua maamuzi mengine.
 
Inatakiwa ulipwe bima as per "Sum Insured". Technically hapa lipo tatizo kwako na kwao pia.

Hawawezi kukulipa just because wewe umesema ndio value yake. What if bargain power yako ni low so gari ya value ndogo ukabambikiwa bei kubwa kwenye manunuzi ukashindwa kuwashawishi wapunguze bei?? So wakiona CIF yako ni kubwa wata opt kuchukua standardized CIF hiyo ya TRA.

Lakin hapo hapo na wao bima walikubalije kukupa bima kwa "Sum Insured" ambayo iko overstated? Yaani toka mwanzo ulipowaambia kua Sum Insured (Value ya Gari) ni kiasi flani kama waliona iko juu kuliko uhalisia ilifaa wakukatalie.

Ila kwa vile The Higher Sum Insured, the higher premium you paid wakajikuta wanakubali overstated premium mnaishia kuja kugombana kama hivi.

Jaribu kuwashawishi kwa kuwapa invoice na any communication with seller kama bado zipo. Na kama unaweza kuingia kwenye mitandao mbalimbali ya uuzaji wa magari ukawaonyesha magari mengine ya kufanana na yako yenye bei kama yako wanaweza kukuamini na kuchukua value yako.
 
Asante mkuu
 
Wakuu niliibiwa na gari mwaka jana mwez wa kumi na mbili, gari ilikua na bima kubwa. Niliwasilisha taarifa yqngu bima, na uchunguzi wa polisi umekamilika lakini hakuna kilichobainika mpaka sasa, bima wana taka kulipa ila kusema kweli sikubaliani na namna bima inavyotaka kunilipa kwani, gari yangu ndo ilikua na siku mbili tu nchini, naomba kujuzwa ni deduction zipi zinatolewa, na kama kuna muuongozo wowote unaonesha namna ya ulipaji nitashukuru sana. Hii bima niliyokata wanasema dhamani ya gari watalipa kulingana na CIF ya TRA, then wanajumlisha na kodi ya TRA. Wakati gharama ya kununua na CIF vinatofautian zaidi ya $1500, naombeni msaada kabla sijachukua maamuzi mengine.

Ulikata kampuni gani?
 
Bima kwenye kulipa gari ikiibiwa au kupata AJALI inakuwa ishu sana aiseee.

Mwaka flani bajaji yangu iligongwa na gari ya kampuni flani

Basi tulihangaishana kweli na mwisho WA siku sikupewa hata mia na aliegonga Wala hiyo kampuni ya bima

Nikatoa bajaji polisi na kwenda kurekebisha mwenyewe

Tunakata bima tu sometimes kuondokana na usumbufu WA askari barabarani lakin naona bima ni unyonyaji tu ulio na faida kwa watu wachache.
 
Mkuu!
Ulitumia bima gani?

Mimi Bajaj Yangu iligongwa na gari,
Baada ya wiki moja tu bima wakanipa 3m kwa ajili ya matengenezo.

Huenda kulikuwa na tatzo kwenye vielelezo.
Alliance wako poa sana
 
Utakuwa ulikata bima za ajabu ajabu mkuu niliwahi kata Zanzibar Insurance gari ilipata ajali nikalipwa vilevile jubilee Insurance nilipata ajali ikawa total loss nikalipwe 10 milion fasta within 3 weeks
 
Mkuu!
Ulitumia bima gani?

Mimi Bajaj Yangu iligongwa na gari,
Baada ya wiki moja tu bima wakanipa 3m kwa ajili ya matengenezo.

Huenda kulikuwa na tatzo kwenye vielelezo.
Alliance wako poa sana
Ilikuwa britam insurance.
 
Bima kwenye kulipa gari ikiibiwa au kupata AJALI inakuwa ishu sana aiseee.

Mwaka flani bajaji yangu iligongwa na gari ya kampuni flani

Basi tulihangaishana kweli na mwisho WA siku sikupewa hata mia na aliegonga Wala hiyo kampuni ya bima

Nikatoa bajaji polisi na kwenda kurekebisha mwenyewe

Tunakata bima tu sometimes kuondokana na usumbufu WA askari barabarani lakin naona bima ni unyonyaji tu ulio na faida kwa watu wachache.
Comment yangu Bora ni hii
 
Ndio maana malori mengi hukata bima chini ya thamani ya gari
 
Yako makampuni yanayolipa bila usumbufu, reliance ni mojawapo, mimi ni mteja
 
Mkuu pole sana Sina ushaur ila kuwa makini sana na hao watu wanaosifia kampuni flan hao ni ma agent wa hizo kampuni.Naona Kila mtu anaisifu kpuni flan kwamba hawana shida.Mtu akija pm tuambie haraka usije kupat janga lingine ukawakimbilia
Oya unazungua kwahiyo mm Dalali niliyoyaongea ni kweli nayashanitokea Bima bora ZIC, Jubilee na kidogo hiyo Allience hizo zengine sina ushuhuda nazo
 
Bima kwenye kulipa gari ikiibiwa au kupata AJALI inakuwa ishu sana aiseee.

Mwaka flani bajaji yangu iligongwa na gari ya kampuni flani

Basi tulihangaishana kweli na mwisho WA siku sikupewa hata mia na aliegonga Wala hiyo kampuni ya bima

Nikatoa bajaji polisi na kwenda kurekebisha mwenyewe

Tunakata bima tu sometimes kuondokana na usumbufu WA askari barabarani lakin naona bima ni unyonyaji tu ulio na faida kwa watu wachache.
Mimi nisingekata bima tena na ole wake mtu anikamate namla supu
 
Wakuu niliibiwa na gari mwaka jana mwez wa kumi na mbili, gari ilikua na bima kubwa. Niliwasilisha taarifa yqngu bima, na uchunguzi wa polisi umekamilika lakini hakuna kilichobainika mpaka sasa, bima wana taka kulipa ila kusema kweli sikubaliani na namna bima inavyotaka kunilipa kwani, gari yangu ndo ilikua na siku mbili tu nchini, naomba kujuzwa ni deduction zipi zinatolewa, na kama kuna muuongozo wowote unaonesha namna ya ulipaji nitashukuru sana. Hii bima niliyokata wanasema dhamani ya gari watalipa kulingana na CIF ya TRA, then wanajumlisha na kodi ya TRA. Wakati gharama ya kununua na CIF vinatofautian zaidi ya $1500, naombeni msaada kabla sijachukua maamuzi mengine.

Value inatakiwa kua Ile uliofanya declaration, ikakatwa 3.5% + Vat ukalipia comprehensive, hapo wameona mwanya wakuzungushe, file complaint TIRA, utashinda kesi na kulipwa zaidi
 
Back
Top Bottom