Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
!
!
dah nilikatwa banzi la uso, kabla sijajua vizuri nikala mtama halafu nikasinywa. Dah hili pigo silisahau. Mchizi alinipa mkong"oto kiaina nikatoka nduki. Hasira nikamalizia kwa demu game za kirafiki daily kabla mchizi hajapelekewa napewa then ndio inaenda. Long way back 2001.
Kwani mkuu ushawahi kufumaniwa!?!??
hivi kwa mfano hawa wakioana watapendana sana na kuacha kuchepuka kwa vile wamefumaniwa au wataendelea kuchepuka?!the payback..
Mie nimekomaa kimaadili siwezi kufanya huo upuuzi wa kutembea na wake za watu
unatembeaga na nani[/QUOT
Uchokozi huo
nmegundua michepuko ni watu muhimu sana....
unatembeaga na nani[/QUOT
Uchokozi huo
ila nachoweza kusema ni historia sasa....Enhee ilikuwaje tiririka mkuu !
Sijawahi fumaniwa
Je unatamani? Naweza kukusaidia utimize ndoto yako
mie nlifumania naSIKUFUMANIWA labda akiiona hii thread atatoa ushuhuda
ila nachoweza kusema ni historia sasa....
Sitaki kukumbuka mabaya yake..
Nakumbuka mazuri yake..mojawapo ni kujua kosa lake na kuniangushia bonge la asset..
Toka hapo ni raha na bata kwa kwenda mbele.