ronaldo habi
Member
- Sep 24, 2021
- 99
- 120
Alafu kama kweli ni wauza madafu...I expected kwa vile wamealikwa ikulu wangevaa atleast vizurii kuendana na location Lakin ukicheki wao wamevaa kawaida na makofia ikimaanisha wanajaribu kumaintain uhalisia wa muuza dafu...Kuna shida apoo...Ni ngumu Sana, kuaminisha uma kua hao, Ni wauza madafu.
1.Wanajiamini Hilo Swala kwa Raia sio Jambo Jepesi.(Over Confidence)
2.Kwa Tanzania kumtambua mtu Kama Ni Askari au Mtumishi wa Srk Ni Jambo Jepesi Sana.
3.Muonekano wao sio wa mtu anae za madafu, na ukitaka kulikua Hilo Tumia mda wako kuonana na wauza madafu.