Waliosona shule kongwe Ndanda boys high school jitokeze apa

Ndanda boys
2006_2008.
HGK.
Kilimanjaro.
Mawenzi.
Room 21.
Horizon Deep.
 
Hii ndanda boys high school ipo mkoa gani?.
Sio kila shule ya wanaume tupu basi jina lake lina boys ndani yake kama songea boys, tabora boys etc
 
Wazee wa kudaunika mwena, mkalapa, madeko kupitia dochi vele
Nilikuwepo 2006-2008 walikuwa wananiita decay master bingwa wakuhifadhi viporo, kulikuwa na mwalimu mlevi balaa nimemsahau jina, juma kiwone namkumbuka,milinga alitokea mahiwa sec tulimuondoa kwa mgomo .
 
Kwanini mlimfanyia mgomo mkuu..
 
Akikuingiza ngazi 18 ni hatare ukitoka huko umechakaa vya kutosha
Daah yule boya kuna kipindi tuliozingua paper tukagiwiwa kwa mateacher as our academic mentors. ***** Si ndiyo nikawa kwake daaah.
Kaguliwa notes zote kila mda anatuita kule juu na ukienda ujipange.
 
Back
Top Bottom