mbikichooo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 265
- 144
Mimi nilikuwa pale 2007 to 2009Nilikuwepo hapo 2009 enzi hizo sowani second master
Mimi nilikuwa pale 2007 to 2009Nilikuwepo hapo 2009 enzi hizo sowani second master
Nilikuepo 2006 - 2009, Sowan, Milinga headmaster!, Muhidini, Mama Tesha, n.k. Nomaa sana!.
kweli mkuu umeondoka mwka gani pale mie nimemaliza 2011
Kwanini mlimfanyia mgomo mkuu..Wazee wa kudaunika mwena, mkalapa, madeko kupitia dochi vele
Nilikuwepo 2006-2008 walikuwa wananiita decay master bingwa wakuhifadhi viporo, kulikuwa na mwalimu mlevi balaa nimemsahau jina, juma kiwone namkumbuka,milinga alitokea mahiwa sec tulimuondoa kwa mgomo .
Ipo Mkoa wa Mtwara, wilaya ya Masasi, mji mdogo wa Ndanda(Jimboni)Hii ndanda boys high school ipo mkoa gani?.
Sio kila shule ya wanaume tupu basi jina lake lina boys ndani yake kama songea boys, tabora boys etc
Mv bukobaHaaa Ndanda boys 2007-2009
Ule ukumbi WA disco mnikumbushe mazee
Tulikula maharage mabovu siku kadhaa,tatizo la maji ila issue kubwa ilikuwa ada kubwa ya kufanyia mock waliyoiweka walipokataa kupunguza ndio ikawa shida!Kwanini mlimfanyia mgomo mkuu..
Manchester hallHaaa Ndanda boys 2007-2009
Ule ukumbi WA disco mnikumbushe mazee
ni boys tuHii ndanda boys high school ipo mkoa gani?.
Sio kila shule ya wanaume tupu basi jina lake lina boys ndani yake kama songea boys, tabora boys etc
Asubuhi ya leo nina machache ya kuzungumza, moja ..........daaaaaah Mongate
Akikuingiza ngazi 18 ni hatare ukitoka huko umechakaa vya kutoshadaaaaaah Mongate
Daah yule boya kuna kipindi tuliozingua paper tukagiwiwa kwa mateacher as our academic mentors. ***** Si ndiyo nikawa kwake daaah.Akikuingiza ngazi 18 ni hatare ukitoka huko umechakaa vya kutosha
No Manchester hall ulikuwa ni kwaajili ya lecturing upo umezungukwa na madarasa wa disco upo juu karibu na mabweni ya sheraton unaitwa mv bukobaManchester hall
Tupo aseee 2013/2015 . . . Lile lizangati sasa daaaah