Waliosona shule kongwe Ndanda boys high school jitokeze apa

Waliosona shule kongwe Ndanda boys high school jitokeze apa

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Nimeona watu waliosoma shule tofauti tofauti mfano minaki. Wanajadili, na sisi tuliosoma Ndanda boys tukutane Wikiend hii apa japo tukumbushane matukio na ubora wa shule yetu kongwe kule mtwara-masasi. Karibu muhusika
 
nilikuwepo pale 2011 enzi za lulukila
 
Tupo aseee 2013/2015 . . . Lile lizangati sasa daaaah
 
Nilikuwepo hapo 2009 enzi hizo sowani second master
 
Kunamwalim moja anaitwa Komba sowani mzenjii .. Mwidini
 
Nilikua kiongozi wako...
Team yao ikiongozwa na
The Dudu
Hayati Sowani
Yamiseo
Sandali
Bila kusahau buku jero, mama tesha,hayati joseph chow ( yule mzungu aliyekufa),mhidini (wa physics) na mpemba ( yule aliyetangaza kuwa ni mara yake ya kwanza kufanya mapenzi toka azaliwe akiwa mkubwa kabisa na muajiriwa kama mwalimu
 
Wamesambaratishwa pale, ile team ya 2011 haipo tena
Godwin Pesambili anapiga pindi pale
 
Nilikuepo 2006 - 2009, Sowan, Milinga headmaster!, Muhidini, Mama Tesha, n.k. Nomaa sana!.
 
Nilikuepo 2006 - 2009, Sowan, Milinga headmaster!, Muhidini, Mama Tesha, n.k. Nomaa sana!.
Millinga alitoka, akaja Lulukila (akiwa na bifu na Komba), akaja hayati sowani, sasa hivi kuna Mkurya mmoja katili sana
Tesha alipelekwa masasi girls, shule ikamshinda wakampeleka kaskazini huko (kuna mkubwa anamlindalinda)
 
Daaaah ndanda boys,aisee sitopasahau madeko kabisaaa.Wap TOPLAYER watoto wanakusanya mpaka uji daaaah SHULE YETU YA NDANDA IDUMU MILELE VILEMBWE NA VILEMBWE WAKUKUTE
 
Bila kusahau buku jero, mama tesha,hayati joseph chow ( yule mzungu aliyekufa),mhidini (wa physics) na mpemba ( yule aliyetangaza kuwa ni mara yake ya kwanza kufanya mapenzi toka azaliwe akiwa mkubwa kabisa na muajiriwa kama mwalimu
WEWE TUTAKUWA TULIKUWA WOTE, PALE CHEPO ILIKUWA BALAA, YAMISEO A.K.A BOB MARLEY
 
Back
Top Bottom