the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Haaa haaa we jamaa itakua tu nakufahamu ,ila nilisoma kwa bata sana yaani uniform kuvaa ukipenda haa haaa kiatu american boot dah hapo enzi ya Charwe ,ila alipougua akabadilishwa tukapetewa jamaa mmoja mmmh gradue yenyewe alituchezesha boys watupu dahHehehe kama ni 42 azimio basi ulikuwa dom mate mimi 47 complex azimio.
Unaenda kukosha ipamba na town!.. tosa boy buana mambo yenu
Hehehehe unakijua vizuri kigari chake kumbeahaaaa akuchukua carina yake kuwahi home kwake kweli maana nilisikiaga hzo story pale july 2012 ambapo shule ilifungwa kwa ajili ya kupisha sensa na walkuwa wanafungua 23.10.2012
noma sana hiyo all in all tosa is the best school.....Hehehehe kabisaa..wale wamama walikuwa wazito sana hawajui chochote kuhusu NECTA
Hehehe aliwakomesha sana wakati huo mnasubiria zuu wajeHaaa haaa we jamaa itakua tu nakufahamu ,ila nilisoma kwa bata sana yaani uniform kuvaa ukipenda haa haaa kiatu american boot dah hapo enzi ya Charwe ,ila alipougua akabadilishwa tukapetewa jamaa mmoja mmmh gradue yenyewe alituchezesha boys watupu dah
mzee huyu jaman wanafunzi wa tosa mlipa hofu ya mungu sana kwani hakuamin nin kitatokea ....Hehehehe unakijua vizuri kigari chake kumbe
Exactly broonoma sana hiyo all in all tosa is the best school.....
Hehehe alitetemeka huyo, hakuamini kama angeweza kukutana na yale mapinduzimzee huyu jaman wanafunzi wa tosa mlipa hofu ya mungu sana kwani hakuamin nin kitatokea ....
Acha kabisa ,siku yenyewe tunamaliza tukafukuzwa maana hakuna darasa lililokua na vurugu kama six iliyomaliza 2008 ,kwanza mpaka tunamaliza kila muhula anakufa mtu mmoja kwa vurugu au kuugua ,dah tumepiga mpaka vita na wanakijiji wa Ipamba acha kabisa sisi tuna mawe wao mapanga na mishale ngumi zimepigwa kitu cha police na hospitalini pale Ipamba ,dah akafariki mwanafunzi mmoja r.i.pmzee huyu jaman wanafunzi wa tosa mlipa hofu ya mungu sana kwani hakuamin nin kitatokea ....
waliniacha hoi sikumbuki vizur ilikuwa form six class ipi walivomaliza mitihan walipanda juu na kulusha karatasi mavitabu kalculeta na wakisema tukutane ud mkuu alipigwa na butwaa so fun sana......Acha kabisa ,siku yenyewe tunamaliza tukafukuzwa maana hakuna darasa lililokua na vurugu kama six iliyomaliza 2008 ,kwanza mpaka tunamaliza kila muhula anakufa mtu mmoja kwa vurugu au kuugua ,dah tumepiga mpaka vita na wanakijiji wa Ipamba acha kabisa sisi tuna mawe wao mapanga na mishale ngumi zimepigwa kitu cha police na hospitalini pale Ipamba ,dah akafariki mwanafunzi mmoja r.i.p
Hao 2008 ,mashati tulichorachora kila mtu anaweka sign kwenye shati la mwenzio kwa ukumbusho acha kabisa ,darasa la wehu sana sisahau tulidumbukiza hiace mtoni tukapewa suspension shule nzima ya wiki tatu hivi ila wengine pia tulivuta tukakaa miezi miwili home ,kkkkkwaliniacha hoi sikumbuki vizur ilikuwa form six class ipi walivomaliza mitihan walipanda juu na kulusha karatasi mavitabu kalculeta na wakisema tukutane ud mkuu alipigwa na butwaa so fun sana......
😀😀😀😀 ahaaaa class 2008 walitisha jaman s kwa vioja hivoHao 2008 ,mashati tulichorachora kila mtu anaweka sign kwenye shati la mwenzio kwa ukumbusho acha kabisa ,darasa la wehu sana sisahau tulidumbukiza hiace mtoni tukapewa suspension shule nzima ya wiki tatu hivi ila wengine pia tulivuta tukakaa miezi miwili home ,kkkkk
Mkuu baadae ntaku-pm tuongee ishu za kilimo ili nione jinsi ya kupata agricultural inputs maana naamini unahusika na hizi mamboAcha kabisa ,siku yenyewe tunamaliza tukafukuzwa maana hakuna darasa lililokua na vurugu kama six iliyomaliza 2008 ,kwanza mpaka tunamaliza kila muhula anakufa mtu mmoja kwa vurugu au kuugua ,dah tumepiga mpaka vita na wanakijiji wa Ipamba acha kabisa sisi tuna mawe wao mapanga na mishale ngumi zimepigwa kitu cha police na hospitalini pale Ipamba ,dah akafariki mwanafunzi mmoja r.i.p
Karibu sana ndugu yanguMkuu baadae ntaku-pm tuongee ishu za kilimo ili nione jinsi ya kupata agricultural inputs maana naamini unahusika na hizi mambo
Mkuu nyie mlichaguliwa wababe tupuChakula tulikua wagomvi tukiwa five mpaka ikawa visasi vya mchana usiku watu wanakutana basketball ground zinapigwa weee mpaka basi asubuh heshima ,chakula mpaka tukatengewa muda wa kula tofauti wa a level na o level maana five yetu hatukutaka kuitwa chua wala kukaa nyuma ya form 3 na four dah kweli maisha ya shule uchizi sana
Poa mkuuKaribu sana ndugu yangu
Huhuhu wimbo unaimbwa kwa sauti ya 4 tu heheheShule yetu tosaaa!! Maganga !shule yapendeza IPO Kilima.
from kingty
VIP ulikuwa pale zoo nini (iringa girls)Jamani nikiisikia hii shule nakumbuka mbali sana basi tu.
TOSAMAGANGA!