Waliosoma Tosamaganga High School

Hehehe huyu bila shaka ni JJ shulla
 
Hivi kwanini wengi waliosoma hizi shule za Jinsia moja wanaongoza sana kwa Mahusiano ya kingono na jinsia moja?
 
Mgomo ulifanyika 2011 mkuu. Nilishiriki nikiwa form 6, na kuhitimu feb 2012
 
ahaaa ticha ailwalisha matango pori nin....daud
Mjinga sana yule hajui halafu analazimisha tujue

Sasa wakaja wakatuvuruga wakatuletea wamama flani ivi wakyuba eti watupigishe mechanics form five..kumbe nao ilikuwa chenga
 
Mjinga sana yule hajui halafu analazimisha tujue

Sasa wakaja wakatuvuruga wakatuletea wamama flani ivi wakyuba eti watupigishe mechanics form five..kumbe nao ilikuwa chenga
ndo yale st joseph kufundishwa mitaala ya india ahaaaa
 
kilasi marufu chogo jamaa huyu sikuelewa pigo zake wakat mkuu shulla alnipa kbali ajabu nikakutana naye illiboru...
Hehe shulla wababe wake ni form 6 wa 2012 waliomtilia kidume cha mgomo 2011 akataka kulia asubuhi asubuhi kama mtoto hata kuongea hawezi
 
Yaani mimi dah nilikaa room namba 42 kisha nikahamia Muungano (bweni) ,kwenda Ipamba nilikua namba moja na kila weekend Kalenga au Iringa mjini kulinihusu haa haaa
Hehehe kama ni 42 azimio basi ulikuwa dom mate mimi 47 complex azimio.

Unaenda kukosha ipamba na town!.. tosa boy buana mambo yenu
 
Hehe shulla wababe wake ni form 6 wa 2012 waliomtilia kidume cha mgomo 2011 akataka kulia asubuhi asubuhi kama mtoto hata kuongea hawezi
ahaaaa akuchukua carina yake kuwahi home kwake kweli maana nilisikiaga hzo story pale july 2012 ambapo shule ilifungwa kwa ajili ya kupisha sensa na walkuwa wanafungua 23.10.2012
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…