Kuna siku bweni la ujamaa ,karibu na DH, alipigwa splash mwalimu fulan wa advance, wanafunzi walitolewa mabwenin ambao hawakuwa assemble, ilikuwa ni shida,...
ntaku pm mkuuu...vp ulikuwaga pale kipind hcho?..ulimkuta mwl.kilasi au chogo kwa jins wanafunz walivyokuwa wakimtaniaUlikuwa unatumia jina la mwalimu nan?
ntaku pm mkuuu...vp ulikuwaga pale kipind hcho?..ulimkuta mwl.kilasi au chogo kwa jins wanafunz walivyokuwa wakimtania
hahahaha..nlisimuliwa..na dogo mmoja baba ake alikuwa anauza ulanz kule nyuma ya mabwen karibu na jikon..chogo ndo kanikuta mm mkuu, , alikuwa muoga haswa wa kukagua mabwenini anajua alichofanyiwa mara ya kwanza.
Bora hata chogo ,kuna mwingine wa kujiita enyasi yaan huyo ndo kunguru sana ukimtishia kidogo hakufuatiliihahahaha..nlisimuliwa..na dogo mmoja baba ake alikuwa anauza ulanz kule nyuma ya mabwen karibu na jikon..
Daaah ,ud walimfanya mbayaElias Kihombo, Yule jamaa anajua utadhani mchawi aisee
Dah nakumbuka miaka ya mwanzo wa 2000 raia walichoma ofisi ya mwl wa malezi usiku baada ya mwanafunzi kufariki baada ya kudaiwa mwl wa malezi alizembea kutoa ruhusa mgonjwa aende hospital!suspension zilitembea hatarNawakumbuka wazee wa kutoboa kwenye kininga
Tumemaliza 2011@ kifumbiko
Aliyekua wakuitwa Mwl Inyasi kwa sasa ni marehemu yapata mwezi sasa.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nimefurahi sanaaaaaaa kukuta sred hii humu ndani.
Nmepita apo 2014-16, ukintajia mzee ugulumo alikuepo wakat tunamaliza 6 sitamsaau kwanza mtoto wake alikua roommatê wangu pale ujamaa #14 (kwa sas npo nae chuo MD2 amentangulia mwãka mmoja) pili, alinpaga adhabu ya kukimbia (mbele ya block za ujamaa na mapinduz) mm na wenzangu, cha ajabu nkaànguka, looh hatari sanaaaaaaa nkarudi dom kulala.
Uyo inyasi, ayubu na kilasi wakawa wababe wa shule. One week bfr necta prof ndalichako akafanya ziara..daah miss it much tosaaa nation.
Dooh! Hatari sana asee, May his soul rest in eternal peace.Aliyekua wakuitwa Mwl Inyasi kwa sasa ni marehemu yapata mwezi sasa.
nakumbuka aliniambia comb ninayotaka kusoma itangharimu sana na alinukuu kwa kusema ni sawa na mtu aliyetoka kubeba gunia la nyasi na kuja kubeba gunia la misumari sikumuelewa kabisa juu ya hii kauli yake pale pale kwa kumuonyesha dharau ni ka mwambia tanzania kuna high skul nying na sitokanyaga ata darasani....ahaaa alicheka sana na hakuniona tena na baadaye yule mkuu alikuja illboru na kunikuta ....hahahha we ulihonga kuhamia tosa ?? hiyo shule ni ya wababe dishi kilasi nilimkimbiza room haji kusahau.