Waliosoma Tosamaganga High School

Tupia Jichoooo
Naikumbuka sana hiyo shule.Nilikomaa hapo miaka minne.CHUA walikuwa wakifika wanatushangaa sana jinsi Ma Olevel tulivyo adopt mazingira na kuyafurahia maisha ya Tosa.
Nyie ndo mlikuwa mnatuita CHUA sio?
 
Advance mwaka huo, hope tulikuwa pamoja
 
Mpiga picha design hiyo alikuwa ni SOLDIER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…