Waliosoma Pamba secondary enzi za utawala wa Mkapa!

Nakumbuka pia yule messanger, yupo mwl wa biashara maduhu, mama wa food and nutrition, aliyekuja kuwa mkuu pale madam pia, ni wengi tu. Ki ukweli Pamba was the great school.
 
Tunashukru kwa kumbukumbu, lakini vipi Ka Bashite?
 
Sasa ilikuwaje bashite akapata Bashite...
 
Wadau wote waliosoma Pamba secondary enzi hizo, karibuni mtueleze mnayoyakumbuka bila kusahau watu mashuhuri waliowahi kupitia hapo na mjina yao!

Mimi nimesoma ikiwaa inaitwa mwanza secondary alikuwa mwalimu machachari wa hesabu anaitwa mr mkono sasa huyu bashite wa juzi simjui sana hata naibu waziri wa ardhi Angelina Mabula kasoma pale alikuwa mbele yangu kwa
Miaka kitatu
 
Tunashukru kwa kumbukumbu, lakini vipi Ka Bashite?
Pamba ni shule yenye wanafunzi wengi na mara nyingi inakuwa na One nyingi na Fa fa fa nyingi pia. Bashite alinitangulia kidogo kwa hiyo sijui mambo yake vizuri. Hila kwa matokea ya gwajima yawezekana ni kweli kwani pale pamekosekana nutrion ambayo wengi waliokuwa wakiikimbia walisoma pia bible.
 
Upo bizi sana kusaka mengine ya kutunga

Ha ha haaaaaaaaa

Vipe hadi kutumia JF, basi kutunga lipi kumsingizia

Watu mbajua kutunga uongo, hata pesa za kwenda Kolomije mmeshindwa weli kuchangishana? Or kwenda Pamva Sec mmeshindwa kabisaaaaa

Mmeaza kuona ni drama za wenye madlahi, endeleeni kufata mikumbo

Haaaaaaaaaaaaaa

Sasa lipi linakuja, kitanda kanunuliwa na watu pia au nguo wanazovaa na mkewe pia

Eeeeeh

Ukiona mleta udaku anaweka mikono juu kwa kuona Mh. Makonda karusha clips za dini leo

Mjue mnamuhitaji Mungu wake

Makonda oyeeeeeee
 
Pamba ni shule nzuri sana hawa akina bashite waliokuwa wakikimbilia kwa mama mnene karibu shell wasituaribie shule.
 
Pamba ni shule yenye wanafunzi wengi na mara nyingi inakuwa na One nyingi na Fa fa fa nyingi pia. Bashite alinitangulia kidogo kwa hiyo sijui mambo yake vizuri. Hila kwa matokea ya gwajima yawezekana ni kweli kwani pale pamekosekana nutrion ambayo wengi waliokuwa wakiikimbia walisoma pia bible.

Eeeeeeeeh

Bado wanataka mengine, wakikulazimisha tungeni tu wafurahie.
 
Upo bizi sana kusaka mengine ya kutunga

Ha ha haaaaaaaaa

Vipe hadi kutumia JF, basi kutunga lipi kumsingizia

Watu mbajua kutunga uongo, hata pesa za kwenda Kolomije mmeshindwa weli kuchangishana? Or kwenda Pamva Sec mmeshindwa kabisaaaaa

Mmeaza kuona ni drama za wenye madlahi, endeleeni kufata mikumbo

Haaaaaaaaaaaaaa

Sasa lipi linakuja, kitanda kanunuliwa na watu pia au nguo wanazovaa na mkewe pia

Eeeeeh

Ukiona mleta udaku anaweka mikono juu kwa kuona Mh. Makonda karusha clips za dini leo

Mjue mnamuhitaji Mungu wake

Makonda oyeeeeeee
Anamjua Mungu gani wakati elimu ya biblia kapiga fa fa fa champion? Labda tumwite Mbwana Samata!!!!
 
Upo bizi sana kusaka mengine ya kutunga

Ha ha haaaaaaaaa

Vipe hadi kutumia JF, basi kutunga lipi kumsingizia

Watu mbajua kutunga uongo, hata pesa za kwenda Kolomije mmeshindwa weli kuchangishana? Or kwenda Pamva Sec mmeshindwa kabisaaaaa

Mmeaza kuona ni drama za wenye madlahi, endeleeni kufata mikumbo

Haaaaaaaaaaaaaa

Sasa lipi linakuja, kitanda kanunuliwa na watu pia au nguo wanazovaa na mkewe pia

Eeeeeh

Ukiona mleta udaku anaweka mikono juu kwa kuona Mh. Makonda karusha clips za dini leo

Mjue mnamuhitaji Mungu wake

Makonda oyeeeeeee
Hivi wewe mtu ulichoandika ni nini?
Mbona umeandika matakataka hivi, wewe ndiye Bashite au ndiye yule uliyempa Bashite cheti cha kaka yako? Au wewe ni hawara wake...?
Unavyomkingia kifua si bure...
Kama haya yanayosemwa ni uongo unashindwaje kuleta ukweli?
Leta ukweli kwamba yeye si Daud Albert Bashite ni Paul Chrstian Makonda na hakupata sifuri...
Vielelezo vinavyoonyesha haya yanayosemwa vimewekwa wazi, sasa unashindwaje wewe kuleta ukweli ili kumaliza mjadala uliopo?
Unafikiri kwa kutoa mapovu unayotoa kwa kusema ni mambo ya kutunga kutamaliza mjadala?
Unajiaibisha sana na jinsi Mungu alivyo wa ajabu anazidi kuwaumbua...
Lazima ukweli utashinda tu..!
Yote haya yanayoendelea ni mapigo kwa bashite na litakuja pigo la mwisho moja matata litamaliza yote!!
 
MKUU LIPO JIKO NA MIMI NIMESHIRIKI
 
Mm hapa nlisoma darasa 1 na mkulu na nlikuwa kiongoz wa darasa...
 
Tupo tunasikia Daudi kawa mkuu wa mkoa huko mjini lakini anaitwa Makonda
 
Mimi nimesoma ikiwaa inaitwa mwanza secondary alikuwa mwalimu machachari wa hesabu anaitwa mr mkono sasa huyu bashite wa juzi simjui sana hata naibu waziri wa ardhi Angelina Mabula kasoma pale alikuwa mbele yangu kwa
Miaka kitatu
pamba ilikuwa inaitwa mwanza sec? hizi si shule mbili tofauti.
 
Wewe utakuwa unafumuliwa marinda na Daud maana unahangaika ana kumtetea.

Zero mkubwa wewe.

Upo bizi sana kusaka mengine ya kutunga

Ha ha haaaaaaaaa

Vipe hadi kutumia JF, basi kutunga lipi kumsingizia

Watu mbajua kutunga uongo, hata pesa za kwenda Kolomije mmeshindwa weli kuchangishana? Or kwenda Pamva Sec mmeshindwa kabisaaaaa

Mmeaza kuona ni drama za wenye madlahi, endeleeni kufata mikumbo

Haaaaaaaaaaaaaa

Sasa lipi linakuja, kitanda kanunuliwa na watu pia au nguo wanazovaa na mkewe pia

Eeeeeh

Ukiona mleta udaku anaweka mikono juu kwa kuona Mh. Makonda karusha clips za dini leo

Mjue mnamuhitaji Mungu wake

Makonda oyeeeeeee
 
Sasa kwanini shule yenu vyeti vyake havipatikani hata ukienda NECTA?
 
Kimune ashafariki...May Lord rest him in peace
 
Back
Top Bottom