Wewe tumekukamata. Eenhee wakati huyo tumbo alipokuwepo Daudi Bashite alikuwa anasoma hapo Pamba secondary!?Mwalimu tumbo wa nyaza.mnamkumbuka?
Wewe tumekukamata. Eenhee wakati huyo tumbo alipokuwepo Daudi Bashite alikuwa anasoma hapo Pamba secondary!?
kama bashite aliyepata 0 hapo pamba ni mkuu wa mkoa basi wanafunzi wenzake woote watakua mabarozi na mawaziri.....mwalinu wake atakua ni mkulu mwenyewe
Daudi Bashite pia alikuwepoWadau wote waliosoma Pamba secondary enzi hizo, karibuni mtueleze mnayoyakumbuka bila kusahau watu mashuhuri waliowahi kupitia hapo na mjina yao!
[/QUOTE]Enzi hizo pamba ilikuwa poa sana, nawakumbuka walimu wangu ( Mr.kimune( marehemu),Mr.Doto, mama ropa (R.I.P), Mrs. Rwamba, Mrs.Mandalu, mrs.mpanduji, mrs.dyamkama, Mr.Anord, Mr.ozyambo) , nawakumbuka sana walimu wangu mwenyezi Mungu awalinde walio hai, waliotutoka ( RIP)
[
QUOTE="Freyzem, post: 20000510, member: 153894"]Wadau wote waliosoma Pamba secondary enzi hizo, karibuni mtueleze mnayoyakumbuka bila kusahau watu mashuhuri waliowahi kupitia hapo na mjina yao!