Waliosoma Leganga Primary School- Usa river Arusha

Waliosoma Leganga Primary School- Usa river Arusha

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
548
Reaction score
62
Natafuta watu waliohitimu Darasa la Saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Leganga Usa-River Arusha kama akina Muhammed Ali, Msafiri, Hariri Khamisi, Yolanda, Mariam, Israel, zakaria simeon, amina na wengineo wa pale Majengo na kwingineko. Au akina Hussein amri, juma amri, hussein michigan na wengineo. Ni siku nyingi na sijui walipo tangu tuachane mwaka 1990.
 
jukwaa la kutafuta waliopotea halijaanzishwa mkuu!


sawa mkubwa kwa kunikumbusha, lakini mbona kuna wengine wanakuja na kusema natafura simu aina fulani, sijui kiwanja au nyumba ya kununua, kupangisha na kadhalika? au mkuki kwa nguruwe?
 
Nakushauri pia ukawatafute kule Facebook.
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu pele LEGANGA CHINI YA MUEMBE
 
Wewe utakuwa umesoma na binamu yangu anaitwa Obeid na mdogo wake Kanyika Walikuwa wanakaa upande wa pili wa barabara. Hata sijui jina la baba yao.
 
Back
Top Bottom