Wale wa 2001 mpaka 2007 wako wapi hawa maabunomo? wengi wao walitia saba form 4, duh maisha yanaenda kasi sana......
Baraka Andrew
Harold Madeha
Ahazi mhiginongwa
Charles Simkonda
Gasper Clement
Sugwejo Kaboda
Florian Mkemwa
Emmanuel O Urassa
Godfrey Ndyeli
Frank Shega
Mzee Nankokonumbi
Samuel Deemai
Duh japo sikuwa jembe walinisolvia maswali sana hawa,
Wapi MKUDE 2000-2003? alinilinda kule Luthuli nisivunwe ila nilikuwa namuandikia notice lol,aliogopwa mtu huyu
Wapi Mbaga? wazee wa state house
Wapi Second master Masaki?
Wapi kisusange, aka KISU?head master
Wapi kibwengo?
Wapi karama fitina?
Hamimu Lubega?
Na vipi hii misemo?
lumba, empty,kuvusha,mpigo,kibwengo,kuvuna,nyali jtano ,negative aka nega,kata mikia tar 9 mwezi 9 saa 9 na dak 9.
Wapi mtanganyika?
Eh bwana nimekumbuka mbali sana