Dtclassic Member Joined Jul 16, 2022 Posts 12 Reaction score 5 Jul 18, 2022 #1 Jamani naomba kujua tofauti kati ya IT NA ICT pia naomba nfahamu aliyesoma IT na mwingine ICT wanaajiliwa katika sekta saww?
Jamani naomba kujua tofauti kati ya IT NA ICT pia naomba nfahamu aliyesoma IT na mwingine ICT wanaajiliwa katika sekta saww?
kaligopelelo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 2,874 Reaction score 4,161 Jul 18, 2022 #2 Siku nyingine mgeni Anza kupiga hodi halafu ukikaribishwa uanze kisalimia kabla haujaeleza shida zako,sawa?
Siku nyingine mgeni Anza kupiga hodi halafu ukikaribishwa uanze kisalimia kabla haujaeleza shida zako,sawa?
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,441 Reaction score 38,416 Jul 18, 2022 #3 Dtclassic said: Jamani naomba kujua tofauti kati ya IT NA ICT pia naomba nfahamu aliyesoma IT na mwingine ICT wanaajiliwa katika sekta saww? Click to expand... IT = Information Technology ICT = Information & Communication Technology
Dtclassic said: Jamani naomba kujua tofauti kati ya IT NA ICT pia naomba nfahamu aliyesoma IT na mwingine ICT wanaajiliwa katika sekta saww? Click to expand... IT = Information Technology ICT = Information & Communication Technology
Waibi fredy Senior Member Joined Jul 4, 2018 Posts 194 Reaction score 228 Jul 18, 2022 #4 Connection unaweza ukasoma HR ukapiga kazi za IT .
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,406 Reaction score 19,372 Jul 18, 2022 #5 ni mambo yale yale tu