RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 3,590
- 8,476
Nikweli mkuu, lakini walidai anafundisha ligi nyepesi ndio maana hawezi kuja EPL, alivokuja epl akachukua wakasema hawezi chukua mala mbili, vipi Sasa hivi nauliza wanalipi tena?.Mbona hakuna la ajabu hapo?
Watu walishafanya kitambo.
Jose mourinho
Sir Alex Ferguson
Wengine kibao
Nafikiri sio mashabiki tuu pep hili kombe la pl atachukua mpka atachoka! Believe meNikweli mkuu, lakini walidai anafundisha ligi nyepesi ndio maana hawezi kuja EPL, alivokuja epl akachukua wakasema hawezi chukua mala mbili, vipi Sasa hivi nauliza wanalipi tena?.
Cc Belo
Mkuu mie pia nakubaliana na wewe, lengo kubwa kwa Pep ni UEFA ingawa hapo hajafanikiwa bado. Sir Alex furgason kafundisha Man utd miaka 27 lakini kachukua uefa mara 2 tu.Sasa ukiangalia hapo unagundua Uefa nikombe gumu sana, ingawa pia huambatana na bahati kulichukua.Nafikiri sio mashabiki tuu pep hili kombe la pl atachukua mpka atachoka! Believe me
Pep anaitamani sana UEFA.. itafikia kipindi mabosi watataka UEFA maana ligi atachukua mpaka atachoka!.. sisemi pep ni kocha mbaya. na wala ligi ya epl sio ngumu kama watu wanavyodai.
Ila epl team zao nyingi zinafanana uwezo. ndo maana Man Utd akicheza crystal palace anaweza kupigwa vizuri mnoo. ila ameweka utofauti kwa kujitengenezea team yenye nguvu kushinda nyingine! so atachukua hilo kombe sana tuu
Sawa sawa mkuu Wewe unajua mpira.. Respect.Mkuu mie pia nakubaliana na wewe, lengo kubwa kwa Pep ni UEFA ingawa hapo hajafanikiwa bado. Sir Alex furgason kafundisha Man utd miaka 27 lakini kachukua uefa mara 2 tu.Sasa ukiangalia happy unagundua Uefa nikombe gumu sana, ingawa pia huambatana na bahati kulichukua.
Kuhusu ligi kuu ya Epl timu nyingi zinalingana viwango, ndio maana msimu uliopita pep alichukua ubingwa kwa point 19 zaidi, msimu huu Liverpool wameongeza speed yakupambana lakini alichofanya msimu uliopita city na huu msimu nitofauti ya point 2 tuu.Kwahiyo naombeni watu wenye timu zao Epl wafunge vibwebwe hasa ili wapambane vya kutosha na Pep kama alivyofanya klop.
Huwezi kumpa uhakika huo. Hebu Angalia EPL ilivyokuwa tamu Msimu huu.Nafikiri sio mashabiki tuu pep hili kombe la pl atachukua mpka atachoka! Believe me
Pep anaitamani sana UEFA.. itafikia kipindi mabosi watataka UEFA maana ligi atachukua mpaka atachoka!.. sisemi pep ni kocha mbaya. na wala ligi ya epl sio ngumu kama watu wanavyodai.
Ila epl team zao nyingi zinafanana uwezo. ndo maana Man Utd akicheza crystal palace anaweza kupigwa vizuri mnoo. ila ameweka utofauti kwa kujitengenezea team yenye nguvu kushinda nyingine! so atachukua hilo kombe sana tuu
Mimi pia naona Pep ataendelea kuchukua...maana Liverpool naona ndo timu iliyojipanga mpaka sasa lakini kwa kilichotokea misimu hii miwili sanasana msimu huu yaaani wamepoteza mechi moja sijui na hawajachukua tena wakizidiwa point moja tu....siwaoni wakiwa na Morale msimu ujao labda wachukue hii Uefa.Nafikiri sio mashabiki tuu pep hili kombe la pl atachukua mpka atachoka! Believe me
Pep anaitamani sana UEFA.. itafikia kipindi mabosi watataka UEFA maana ligi atachukua mpaka atachoka!.. sisemi pep ni kocha mbaya. na wala ligi ya epl sio ngumu kama watu wanavyodai.
Ila epl team zao nyingi zinafanana uwezo. ndo maana Man Utd akicheza crystal palace anaweza kupigwa vizuri mnoo. ila ameweka utofauti kwa kujitengenezea team yenye nguvu kushinda nyingine! so atachukua hilo kombe sana tuu
Naomba nikiri kwamba Mimi ni mmoja wao ambao nilitabiri hili,Pep hawezi chukua EPL mara mbili mfululizo , maana ligi ya Epl ningumu sana. Vipi mnalipi tena ndugu zangu juu ya Pep.
Au kingumu England nikuendesha gari tu.Maana Sasa hivi naona anaondoka nivikombe vyote vya England.
vyovyotte vile mkuu.Mimi pia naona Pep ataendelea kuchukua...maana Liverpool naona ndo timu iliyojipanga mpaka sasa lakini kwa kilichotokea misimu hii miwili sanasana msimu huu yaaani wamepoteza mechi moja sijui na hawajachukua tena wakizidiwa point moja tu....siwaoni wakiwa na Morale msimu ujao labda wachukue hii Uefa.
Hiyo siyo sababu kubwa. Sema anatumia pesa kwa kuwekeza kiufundi kwa kuchagua wachezaji sahihi wa kumpa mafanikio. Jambo hilo pia ni ufundi. Wengine hupewa hela na kuchemka pia,kumbuka hilo. Kipekee mimi nakiri Pep ni fundi!Kimsingi Pep anatumia mapesa mengi sana kujenga kikosi kuliko timu yoyote Uingereza , ni sawa na Madrid, na ndio maana akiolewa UEFA anakuwa mdogo kama piriton, sioni ajabu kwa yeye kubeba ndoo ya EPL na atabeba sana
Kwanza kabisa ukienda kwa jicho la hatua tatu mbele, LA ndani kabisaa..Huwezi kumpa uhakika huo. Hebu Angalia EPL ilivyokuwa tamu Msimu huu.
Hadi dkk za mwisho Bingwa hatabiriki. LFC alivyotangulia kupata goli kwa Mbweha na city kutangulia kufungwa wengi waliamini game limekwisha.
Nasema, liver kukubali kufungwa na city ulikuwa mwanzo mbaya kwa klop.
So, Msimu ujao utakuwa mtamu zaidi. Kumbuka, United hawatakubali utoto huu. Chelsea naye atajipanga. Spurs Ni wa kawaida. Wolves hatakuwa na makali haya na sio ajabu akawa miongoni kushuka daraja.
Yote Tisa, Ligi imeongezeka ubora na Utamu. Angalia EPL imetoa timu 4 kwenye fainali mbili( CL na Europa).
Tukutane Msimu ujao. Ciao!
Tumekuja na hoja mpya,Pep hawezi kudumu Man City muda mrefu kama Wenger au Ferguson,atatimuliwa tu.Pep hawezi chukua EPL mara mbili mfululizo , maana ligi ya Epl ningumu sana. Vipi mnalipi tena ndugu zangu juu ya Pep.
Au kingumu England nikuendesha gari tu.Maana Sasa hivi naona anaondoka nivikombe vyote vya England.
Man utd hana uwezo wakushindana msimu ujao....man jtd need two seasons ndio wataweza kuanza compete for the league....next season wao walenge kuingia top 4 wakacheze champions leagueHuwezi kumpa uhakika huo. Hebu Angalia EPL ilivyokuwa tamu Msimu huu.