Waliosema Pep hawezi kuchukua EPL back to back , vipi mnalipi tena?.

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,577
8,420
Pep hawezi chukua EPL mara mbili mfululizo , maana ligi ya Epl ningumu sana. Vipi mnalipi tena ndugu zangu juu ya Pep.

Au kingumu England nikuendesha gari tu.Maana Sasa hivi naona anaondoka nivikombe vyote vya England.
 
Mbona hakuna la ajabu hapo?
Watu walishafanya kitambo.
Jose mourinho
Sir Alex Ferguson
Wengine kibao
Nikweli mkuu, lakini walidai anafundisha ligi nyepesi ndio maana hawezi kuja EPL, alivokuja epl akachukua wakasema hawezi chukua mala mbili, vipi Sasa hivi nauliza wanalipi tena?.

Cc Belo
 
Nafikiri sio mashabiki tuu pep hili kombe la pl atachukua mpka atachoka! Believe me
Pep anaitamani sana UEFA.. itafikia kipindi mabosi watataka UEFA maana ligi atachukua mpaka atachoka!.. sisemi pep ni kocha mbaya. na wala ligi ya epl sio ngumu kama watu wanavyodai.
Ila epl team zao nyingi zinafanana uwezo. ndo maana Man Utd akicheza crystal palace anaweza kupigwa vizuri mnoo. ila ameweka utofauti kwa kujitengenezea team yenye nguvu kushinda nyingine! so atachukua hilo kombe sana tuu
 
Mkuu mie pia nakubaliana na wewe, lengo kubwa kwa Pep ni UEFA ingawa hapo hajafanikiwa bado. Sir Alex furgason kafundisha Man utd miaka 27 lakini kachukua uefa mara 2 tu.Sasa ukiangalia hapo unagundua Uefa nikombe gumu sana, ingawa pia huambatana na bahati kulichukua.

Kuhusu ligi kuu ya Epl timu nyingi zinalingana viwango, ndio maana msimu uliopita pep alichukua ubingwa kwa point 19 zaidi, msimu huu Liverpool wameongeza speed yakupambana lakini alichofanya msimu uliopita city na huu msimu nitofauti ya point 2 tuu.Kwahiyo naombeni watu wenye timu zao Epl wafunge vibwebwe hasa ili wapambane vya kutosha na Pep kama alivyofanya klop.
 
Mkuu mie pia nakubaliana na wewe, lengo kubwa kwa Pep ni UEFA ingawa hapo hajafanikiwa bado. Sir Alex furgason kafundisha Man utd miaka 27 lakini kachukua uefa mara 2 tu.Sasa ukiangalia happy unagundua Uefa nikombe gumu sana, ingawa pia huambatana na bahati kulichukua.

Kuhusu ligi kuu ya Epl timu nyingi zinalingana viwango, ndio maana msimu uliopita pep alichukua ubingwa kwa point 19 zaidi, msimu huu Liverpool wameongeza speed yakupambana lakini alichofanya msimu uliopita city na huu msimu nitofauti ya point 2 tuu.Kwahiyo naombeni watu wenye timu zao Epl wafunge vibwebwe hasa ili wapambane vya kutosha na Pep kama alivyofanya klop.
Sawa sawa mkuu Wewe unajua mpira.. Respect.
Nilichokiongea umeelewa kabisa safi
 
Nafikiri sio mashabiki tuu pep hili kombe la pl atachukua mpka atachoka! Believe me
Pep anaitamani sana UEFA.. itafikia kipindi mabosi watataka UEFA maana ligi atachukua mpaka atachoka!.. sisemi pep ni kocha mbaya. na wala ligi ya epl sio ngumu kama watu wanavyodai.
Ila epl team zao nyingi zinafanana uwezo. ndo maana Man Utd akicheza crystal palace anaweza kupigwa vizuri mnoo. ila ameweka utofauti kwa kujitengenezea team yenye nguvu kushinda nyingine! so atachukua hilo kombe sana tuu
Huwezi kumpa uhakika huo. Hebu Angalia EPL ilivyokuwa tamu Msimu huu.
Hadi dkk za mwisho Bingwa hatabiriki. LFC alivyotangulia kupata goli kwa Mbweha na city kutangulia kufungwa wengi waliamini game limekwisha.
Nasema, liver kukubali kufungwa na city ulikuwa mwanzo mbaya kwa klop.
So, Msimu ujao utakuwa mtamu zaidi. Kumbuka, United hawatakubali utoto huu. Chelsea naye atajipanga. Spurs Ni wa kawaida. Wolves hatakuwa na makali haya na sio ajabu akawa miongoni kushuka daraja.
Yote Tisa, Ligi imeongezeka ubora na Utamu. Angalia EPL imetoa timu 4 kwenye fainali mbili( CL na Europa).
Tukutane Msimu ujao. Ciao!
 
Kimsingi Pep anatumia mapesa mengi sana kujenga kikosi kuliko timu yoyote Uingereza , ni sawa na Madrid, na ndio maana akiolewa UEFA anakuwa mdogo kama piriton, sioni ajabu kwa yeye kubeba ndoo ya EPL na atabeba sana
 
Mimi pia naona Pep ataendelea kuchukua...maana Liverpool naona ndo timu iliyojipanga mpaka sasa lakini kwa kilichotokea misimu hii miwili sanasana msimu huu yaaani wamepoteza mechi moja sijui na hawajachukua tena wakizidiwa point moja tu....siwaoni wakiwa na Morale msimu ujao labda wachukue hii Uefa.
 
Pep hawezi chukua EPL mara mbili mfululizo , maana ligi ya Epl ningumu sana. Vipi mnalipi tena ndugu zangu juu ya Pep.

Au kingumu England nikuendesha gari tu.Maana Sasa hivi naona anaondoka nivikombe vyote vya England.
Naomba nikiri kwamba Mimi ni mmoja wao ambao nilitabiri hili,
Kwa sasa pep analingana na Sir Alex Ferguson, Jose Mourinho kwa kuchukua ubingwa mara mbili yaan back to back
 
Kwa kuongezea tu city ana kikosi kipana sana ukilinganisha na wenzie cheki majeruh ya de bruyne na fernandinho mendy hayakuwatetersha kabsa cheki mchezaji kama mahrez sane otamendi danilo wako benchi na hapo hatujajua watasajili nani kwenye dirisha LA usajili.cheki vikosi vya pili vya timu nyingne(top six) Havna ubora
 
Mimi pia naona Pep ataendelea kuchukua...maana Liverpool naona ndo timu iliyojipanga mpaka sasa lakini kwa kilichotokea misimu hii miwili sanasana msimu huu yaaani wamepoteza mechi moja sijui na hawajachukua tena wakizidiwa point moja tu....siwaoni wakiwa na Morale msimu ujao labda wachukue hii Uefa.
vyovyotte vile mkuu.
Narudia tena. pep atachukua epl Sana tuu.
Ana kikosi chenye nguvu kuubwa mno!
Ni liver pekee aliempa challenge. kwa sababu klopp nae alijitahidi kutengeneza kikosi chenye nguvu Kama pep!
So naweza kusema ubingwa mbio zake ulikuwa /utakuwa wa team hizi hizi mbili.
Hao wengine uwezo wao unafanana! Kwa ukaribu mno..
Mpaka sasa Man Utd hawaeleki wanacheza soka la aina gani! Chelsea vile vile.. ila klopp na pep tuu wanaocheza soka linaloeleweka hata ukiangalia kwa macho!
Still pep nguvu anayo kwa pale epl
Ila kwa UEFA kile kikosi cha pep bado sanaaa.. Niishie hapa
 
Kimsingi Pep anatumia mapesa mengi sana kujenga kikosi kuliko timu yoyote Uingereza , ni sawa na Madrid, na ndio maana akiolewa UEFA anakuwa mdogo kama piriton, sioni ajabu kwa yeye kubeba ndoo ya EPL na atabeba sana
Hiyo siyo sababu kubwa. Sema anatumia pesa kwa kuwekeza kiufundi kwa kuchagua wachezaji sahihi wa kumpa mafanikio. Jambo hilo pia ni ufundi. Wengine hupewa hela na kuchemka pia,kumbuka hilo. Kipekee mimi nakiri Pep ni fundi!
 
Huwezi kumpa uhakika huo. Hebu Angalia EPL ilivyokuwa tamu Msimu huu.
Hadi dkk za mwisho Bingwa hatabiriki. LFC alivyotangulia kupata goli kwa Mbweha na city kutangulia kufungwa wengi waliamini game limekwisha.
Nasema, liver kukubali kufungwa na city ulikuwa mwanzo mbaya kwa klop.
So, Msimu ujao utakuwa mtamu zaidi. Kumbuka, United hawatakubali utoto huu. Chelsea naye atajipanga. Spurs Ni wa kawaida. Wolves hatakuwa na makali haya na sio ajabu akawa miongoni kushuka daraja.
Yote Tisa, Ligi imeongezeka ubora na Utamu. Angalia EPL imetoa timu 4 kwenye fainali mbili( CL na Europa).
Tukutane Msimu ujao. Ciao!
Kwanza kabisa ukienda kwa jicho la hatua tatu mbele, LA ndani kabisaa..
Utakubaliana nami pep katengeneza wigo mkubwa mno na wenye nguvu!
Ni liver pekee atakaendelea kumchallenge pep kiuwezo, tactical, pressing na mengine mengi lakini pep ile ligi atatawala sana na bado anaingia sokoni! tukutane msimu ujao kisha utaniambia vizuri!

Kuhusu Man Utd naona kwa mtu ambaye tupo serious hawezi kuwapa credits hata kidogo!
Tottenham, arsenal, Chelsea itawachukua muda mrefu kama sio msimu miwili mbele kutengeneza kikosi Kama cha pep! Man Utd ndo kabisaa! (kumbuka pep alifumua kikosi cha kwanza chote)

Mimi binafsi Sina shida na pep kwenye epl atachukua sana tuu.
Mfupa kwangu aliobakiza ni UEFA tuu na ndo maana anaingia tena sokoni coz anajua kile kikosi chake kina nguvu kubwa tayari epl
Ila kwa UEFA bado sanaaa.!

Kuhusu kuingiza team nne fainali ligi epl
Huwa ni suala la mipango pale Team zikiwa zinatoshana nguvu yaani ligi nzima na ndo inaleta changamoto na changamoto inazaa uwezo! Uwezo unazaa ubora! La liga hii kitu walishafnya Sana tuu so epl imeanza ku improve..
 
Pep hawezi chukua EPL mara mbili mfululizo , maana ligi ya Epl ningumu sana. Vipi mnalipi tena ndugu zangu juu ya Pep.

Au kingumu England nikuendesha gari tu.Maana Sasa hivi naona anaondoka nivikombe vyote vya England.
Tumekuja na hoja mpya,Pep hawezi kudumu Man City muda mrefu kama Wenger au Ferguson,atatimuliwa tu.
 
Huwezi kumpa uhakika huo. Hebu Angalia EPL ilivyokuwa tamu Msimu huu.
Hadi dkk za mwisho Bingwa hatabiriki. LFC alivyotangulia kupata goli kwa Mbweha na city kutangulia kufungwa wengi waliamini game limekwisha.
Nasema, liver kukubali kufungwa na city ulikuwa mwanzo mbaya kwa klop.
So, Msimu ujao utakuwa mtamu zaidi. Kumbuka, United hawatakubali utoto huu. Chelsea naye atajipanga. Spurs Ni wa kawaida. Wolves hatakuwa na makali haya na sio ajabu akawa miongoni kushuka daraja.
Yote Tisa, Ligi imeongezeka ubora na Utamu. Angalia EPL imetoa timu 4 kwenye fainali mbili( CL na Europa).
Tukutane Msimu ujao. Ciao!
Man utd hana uwezo wakushindana msimu ujao....man jtd need two seasons ndio wataweza kuanza compete for the league....next season wao walenge kuingia top 4 wakacheze champions league
 
hivi kila kocha epl pale apewe kila mchezaji anaemtaka kitatokea nini uwanjani!?...mourinho,wenger,ferguson,klopp,pochetino uwape kila mchezaji wanaemtaka,wawe na uwezo wa kununua timu nzima..epl itakuwaje!?..pep ananunua mafanikio,anakua na timu imara kuliko wenzake,ukiniamabia nichague kocha nachagua klop
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom