Waliopokea Pesa za Escrow ni Wezi kama Wezi Wengine wa Kuku na Mbuzi Warudishe Haraka Sana!!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Well, mwisho wa yote kuna Viongozi wengi wametajwa kuhusika na kupewa pesa za Escrow na hakuna aliyetajwa kuzikataa na so far sijaona popote inaposemwa kwamba kazi waliyoifanya ili kupewa na kupokea pesa hizo, na naomba niwe mkweli kati ya wote walioatajwa kupokea pesa hizo nimeshitushwa sana na Wawili, yaani Waziri Mama Tibaijuka na Askofu Kilaini I mean wengine sikushitushwa sana maana some of them tumewazoea na habari za rushwa all the times.

- Mama Tibaijuka, hivi kweli anaweza kusimama mbele ya umma na kusema pesa alizopewa sio chafu? Hivi ni kweli alipokuwa UN aliwahi kupokea pesa za namna hiyo? Sasa kwa nini anakuja kupokea akiwa Waziri wa CCM? Askofu Kilaini hata na yeye naye anaweza kweli kukubali kupokea Shillingi Millioni 80 bila ya kuzifanyia kazi inawezekana vipi? Hizi pesa walipewa za Rushwa nia na madhumuni ilikuwa kuwanunua their influence, wamekamatwa red handed tunapoteza muda kujadili bungeni kujadili nini na ukweli upo wazi kuwa wamepewa pesa na wamezipokea!

- Kwanza warudishe hizo pesa kwa waliowapa, and then hatua za kinidhamu zichukuliwe na hasa kutoka kwa Chama cha Mapinduzi, wale wote walio wanachama wa CCM waliopokea hizo pesa chafu wachukuliwe hatua na ikibidi waende Mahakamani kwa kupokea Rushwa, huyo Askofu watajijua wenyewe huko Kanisani kwake ila I hope hatahubiri tena ila ndio maana sijawahi hata kumsikiliza nilishamshitukia siku nyingi kuwa hayupo kwenye mstari na Mungu, wanajifanya kupiga piga kelele za siasa kumbe wanatafuta mlo tu na hizi siasa za kuwachanganya Maaskofu sijui tumezianza lini Tanzania.

- Warudishe Pesa chafu ni za Rushwa na halafu waadhibiwe na CCM and then Sheria ichukue mkondo wake si kuna Rushwa hapo!!

Le Mutuz
 
Kaka le mutuz upo? Sasa ngoja nikuulize swali utakubaliana na mimi hii nchi uongozi wake ni legelege? Manake haiingii akilini nchi yenye dola uongozi watu wanapeana fedha b.o.t kwa mifuko ya rambo, mabox halafu bado kuna watu katika serikali hiyohiyo wanawatetea kuwa fedha hazijaibwa hivi kweli le mutuz tutoe mfano wewe ndie rais kuna usalama wa taifa huwa wanafanya kazi gani siku hizi? Au kufuatilia shughuli za ukawa? Kwa nini mkuu wa nchi asichukue uamuzi mgumu na wahaki kufukuza kazi yeyote aliyehusika na huu uchafu? Au ndio sera za ccm?
 
matakwa yako hayawezi fanywa na ccm......waanzie magamba kama wana nia ya dhati.....
 
Hata wewe W. J. Malecela leo unayatamka maneno haya?
Imebidi nikanawe uso kwanza maana sikuamini kama ninayosoma umeyaandika wewe au ninaona 'machokumchuzi'.
Tutasikia mengi sana mwaka huu!

- Inaelekea hunijui vizuri sana, wapo wanaonijua hapa sijawahi kutetea wizi halafu uliza mchango wangu kwenye sakata la Richmond I hope unajua kwamba soo zima lilianzia hapa hapa JF

Le Mutuz
 
Mimi naungana na wewe wanatakiwa wazirudishe tena yule Kilaini ndio afanye haraka kabisa
 
Kaka le mutuz upo? Sasa ngoja nikuulize swali utakubaliana na mimi hii nchi uongozi wake ni legelege? Manake haiingii akilini nchi yenye dola uongozi watu wanapeana fedha b.o.t kwa mifuko ya rambo, mabox halafu bado kuna watu katika serikali hiyohiyo wanawatetea kuwa fedha hazijaibwa hivi kweli le mutuz tutoe mfano wewe ndie rais kuna usalama wa taifa huwa wanafanya kazi gani siku hizi? Au kufuatilia shughuli za ukawa? Kwa nini mkuu wa nchi asichukue uamuzi mgumu na wahaki kufukuza kazi yeyote aliyehusika na huu uchafu? Au ndio sera za ccm?

- Hii ngoma ni ya Waziri Mkuu so tusubiri atasema nini leo later ila ni gnoma yake sio ya Rais

Le Mutuz
 
Thanks ... Wape Elimu Vijana mlio wa deploy humu jamvini kuwa kwenye hili Watangulize maslahi ya nchi mbele...
- Well, mwisho wa yote kuna Viongozi wengi wametajwa kuhusika na kupewa pesa za Escrow na hakuna aliyetajwa kuzikataa na so far sijaona popote inaposemwa kwamba kazi waliyoifanya ili kupewa na kupokea pesa hizo, na naomba niwe mkweli kati ya wote walioatajwa kupokea pesa hizo nimeshitushwa sana na Wawili, yaani Waziri Mama Tibaijuka na Askofu Kilaini I mean wengine sikushitushwa sana maana some of them tumewazoea na habari za rushwa all the times.

- Mama Tibaijuka, hivi kweli anaweza kusimama mbele ya umma na kusema pesa alizopewa sio chafu? Hivi ni kweli alipokuwa UN aliwahi kupokea pesa za namna hiyo? Sasa kwa nini anakuja kupokea akiwa Waziri wa CCM? Askofu Kilaini hata na yeye naye anaweza kweli kukubali kupokea Shillingi Millioni 80 bila ya kuzifanyia kazi inawezekana vipi? Hizi pesa walipewa za Rushwa nia na madhumuni ilikuwa kuwanunua their influence, wamekamatwa red handed tunapoteza muda kujadili bungeni kujadili nini na ukweli upo wazi kuwa wamepewa pesa na wamezipokea!

- Kwanza warudishe hizo pesa kwa waliowapa, and then hatua za kinidhamu zichukuliwe na hasa kutoka kwa Chama cha Mapinduzi, wale wote walio wanachama wa CCM waliopokea hizo pesa chafu wachukuliwe hatua na ikibidi waende Mahakamani kwa kupokea Rushwa, huyo Askofu watajijua wenyewe huko Kanisani kwake ila I hope hatahubiri tena ila ndio maana sijawahi hata kumsikiliza nilishamshitukia siku nyingi kuwa hayupo kwenye mstari na Mungu, wanajifanya kupiga piga kelele za siasa kumbe wanatafuta mlo tu na hizi siasa za kuwachanganya Maaskofu sijui tumezianza lini Tanzania.

- Warudishe Pesa chafu ni za Rushwa na halafu waadhibiwe na CCM and then Sheria ichukue mkondo wake si kuna Rushwa hapo!!

Le Mutuz
 
Hao wanachama wa ccm wakiongozwa na chenge wavuliwe uanachama mara moja! Pia muhongo kwa kuendelea kusema uongo ndani ya bunge asimamishwe kuhudhuria mikutano ya bunge kadhaa!

- Nakubali kwamba Wanachama wa CCM wote waliopokea hizo pesa chafu waadhibiwe some how ikibidi kuwafukuza chama, lakini sijaona makosa ya Muhongo bado!

Le Mutuz
 
Thanks ... Wape Elimu Vijana mlio wa deploy humu jamvini kuwa kwenye hili Watangulize maslahi ya nchi mbele...

- Masilahi ya nani wakati Mkono na wanasheria wenziwe wamechukua Billioni 62 na bado wanaidai Tanesco USD $ 4 Millioni hivi jamani huwa wote tunasikiliza vizuri maelezo bungeni au what? I mean masilahi ya Chama gani hayo na maepsa yote kwa kazi za klijinga jinga tu, please!!

Le Mutuz
 
- Well, mwisho wa yote kuna Viongozi wengi wametajwa kuhusika na kupewa pesa za Escrow na hakuna aliyetajwa kuzikataa na so far sijaona popote inaposemwa kwamba kazi waliyoifanya ili kupewa na kupokea pesa hizo, na naomba niwe mkweli kati ya wote walioatajwa kupokea pesa hizo nimeshitushwa sana na Wawili, yaani Waziri Mama Tibaijuka na Askofu Kilaini I mean wengine sikushitushwa sana maana some of them tumewazoea na habari za rushwa all the times.

- Mama Tibaijuka, hivi kweli anaweza kusimama mbele ya umma na kusema pesa alizopewa sio chafu? Hivi ni kweli alipokuwa UN aliwahi kupokea pesa za namna hiyo? Sasa kwa nini anakuja kupokea akiwa Waziri wa CCM? Askofu Kilaini hata na yeye naye anaweza kweli kukubali kupokea Shillingi Millioni 80 bila ya kuzifanyia kazi inawezekana vipi? Hizi pesa walipewa za Rushwa nia na madhumuni ilikuwa kuwanunua their influence, wamekamatwa red handed tunapoteza muda kujadili bungeni kujadili nini na ukweli upo wazi kuwa wamepewa pesa na wamezipokea!

- Kwanza warudishe hizo pesa kwa waliowapa, and then hatua za kinidhamu zichukuliwe na hasa kutoka kwa Chama cha Mapinduzi, wale wote walio wanachama wa CCM waliopokea hizo pesa chafu wachukuliwe hatua na ikibidi waende Mahakamani kwa kupokea Rushwa, huyo Askofu watajijua wenyewe huko Kanisani kwake ila I hope hatahubiri tena ila ndio maana sijawahi hata kumsikiliza nilishamshitukia siku nyingi kuwa hayupo kwenye mstari na Mungu, wanajifanya kupiga piga kelele za siasa kumbe wanatafuta mlo tu na hizi siasa za kuwachanganya Maaskofu sijui tumezianza lini Tanzania.

- Warudishe Pesa chafu ni za Rushwa na halafu waadhibiwe na CCM and then Sheria ichukue mkondo wake si kuna Rushwa hapo!!

Le Mutuz
Fire on all cylinders Le Mutuz!!!
Tunacheka na nyani waliovaa majoho ya uanasiasa, wankula hela ya kodi, wafadhili wameshasituka na kodi zao,sasa tunakula mabua .
 
Le Mutuz nakuunga mkono kuna huyu mama wa TRA ameonea sana watumishi huku kila mtu ndani ya mamlaka akijua ni fisadi isipokuwa amekuwa akilindwa sasa leo kaumbuka TRA nzima ni kicheko kwa watumishi Mungu amfichi mnafiki
 
Alipewa gizani hakuona kama ni chafu, bahati mbaya kwake kuwa hata gizani watu wanamulika.......Maskini Tibaijuka.........Kiukweli kwa mara ya kwanza my like kwa Le Mutuz.
 
Back
Top Bottom