Waliopigiwa simu wakaambiwa wasiseme

Waliopigiwa simu wakaambiwa wasiseme

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
371
Reaction score
160
napenda kujua wale waliopigiwa simu wakaambiwa wasiseme na wakawa na woga kwamba huenda kakaenda kung'olewa kucha nini wamekikuta huko make tarehe ilikua leo
 
napenda kujua wale waliopigiwa simu wakaambiwa wasiseme na wakawa na woga kwamba huenda kakaenda kung'olewa kucha nini wamekikuta huko make tarehe ilikua leo

Kuwa mtu mzima kidogo,waliopigiwa simu na nani na wapi. Na kung'olewa kucha kunahusika vipi?
 
napenda kujua wale waliopigiwa simu wakaambiwa wasiseme na wakawa na woga kwamba huenda kakaenda kung'olewa kucha nini wamekikuta huko make tarehe ilikua leo

are-you-drunk_o_381925.jpg
 
Walipigiwa tena simu wakaambiwa wasiende kwa kuwa ni waoga.
 
kama hujaelewa huna haja ya kucomment,wapo wahusika watajibu msikurupuke!
 
Sasa kama wameambiwa wasiseme wewe umejuaje? And does it concern you? Are you a she or he coz you scare me.
 
i think, ni kuhusu usalama wa taifa, bado hawajapigia watu simu.... i have friends of mine that have been contacted by them...... au ulikua unamaana gani
 
Back
Top Bottom