Waliopata mkopo 2017/18

encyclopaedia Tanzaree

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
513
397
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. awamu ya kwanza ya majina ya waliopangiwa mikopo mwaka 2017/18 iko tayari. BONYEZA HAPA kuona jina lako!

Link hiyo itakuelekeza moja kwa mja kwenye ukurasa wa ku login, login halafu angalia kwenye dashboard neno la kwanza ni "LOAN ALLOCATION 2017/18", bonyeza hapo utaona kama umepata au lah!

Karibuni!
 

Attachments

  • batchone_loansallocation.pdf
    4.5 MB · Views: 124
Wadau wa elimu kama kichwa kinavyojieleza!
Naomba tupeane updates na tetesi zozote zinazohusiana na kinachoendelea kunako bodi ya mikopo kuhusu utoaji wa mikopo 2017/18.

Karibuni!
Wadau wa elimu kama kichwa kinavyojieleza!
Naomba tupeane updates na tetesi zozote zinazohusiana na kinachoendelea kunako bodi ya mikopo kuhusu utoaji wa mikopo 2017/18.

Karibuni!
Futa kichwa cha habari apo juu haraka iwezekanavyo..unawapa watu pressure..mbavuu sana. ...
 
Naombeni kuuliza wakuu, hivi kwa mfano B.O.T wakaikutafta wenyewe kuwa u-apply sponsorship yao watakuwa wanakulipa sawa na loan's board au wataongeza kidogo?
 
Hivi kwenye index no unaweka mkwaju, dot au dash. .
. Maana hawaja toa maelekezo how do ..

I mean naomba kama kuna mtu anajua namna ya kuiandika hiyo namba anisaidie
 
Back
Top Bottom