Walioomba mafunzo ya ualimu: Tazama jina lako hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walioomba mafunzo ya ualimu: Tazama jina lako hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MAKOLE, Jul 30, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Walioomba nafasi za mafunzo ya ualimu kwa mwaka huu, majina yametoka na unaweza kutembelea website ya Wizara ya elimu: www.moevt.go.tz


   
 2. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,971
  Likes Received: 37,531
  Trophy Points: 280
  Mbona haifunguki?Inahusu vyuo gani au hata kwa wale wa vyuo vikuu?
   
 3. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  vyuo vya ualimu peke yake mkuu ngazi ya cheti na stashahada
   
 4. Godfrey Electronics

  Godfrey Electronics JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 587
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
 5. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  poaaaa
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Kuna mgomo huko sio mahali pa kukimbilia. Ila inaonekana watu hatujifunzi kutokana na mazingira. Elimu imekuwa na mgogoro tangu kuingia kwa mwinyi, sasa unayekimbilia ualimu unajiandaa kugoma au huna solution nyingine?

  Mi nadhani tuwasisitizie vijana wetu kuwa ualimu kwa sasa sio issue, ili watu waanze kuichukia fani hii. Ni kusoma kwa bidiii kutakakosaidia mtu apanue wigo wa ajira. Lakini ukisoma kizembe, mtaokeo yakawa mabaya, means umesaini maisha kuwa mgomaji na mtu wa kudai maslahi yale yale kila mwaka
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  jamani huko wanagoma kila siku.
   
 8. Advicer

  Advicer JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Mbona inasoma hivi?

  jtablesession::Store Failed
  DB function failed with error number 145
  Table './moet_moet/web2_session' is marked as crashed and should be repaired SQL=INSERT INTO `web2_session` ( `session_id`,`time`,`username`,`gid`,`guest`,`client_id` ) VALUES ( '9f001ce4df7d9ba89226bcd59fa32cc1','1343785126','','0','1','0' )
   
 9. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  ni kweli sasa hivi hayafunguki,kama vipi niambie jina unalotaka nikutafutie sasa hivi,mimi niliyadownload tangu mchana.
   
 10. F

  Ford Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Naomba nitumie mwanangu mana haifunguki mpaka sasa.
   
 11. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  taja jina nikuangalizie,siwezi post yote hapa kwa7bu yapo kwenye pdf file na ninatumia simu.
   
 12. Laurent Mshani

  Laurent Mshani Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nitumie nami jina LAURENT MSHANI.
   
 13. M

  Motisha kwa Watz Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naomba nicheckie jina la Sisto John Mkakilwa,nitashukuru sana best!
   
 14. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kaka ni grade A(certificate) ama diploma? Kama ni grade A naomba usubiri hadi www.moe.go.tz ikae fresh alafu ntayadownload. Nimetafuta jina lako kwenye list ya diploma(hii ndo niliidownload jana) sijaliona.
   
 15. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Vipi na wewe kaka ni grade A? Kwenye diploma nimeona jina "Sisto Lwagila" hilo uliloniambia sijaliona kwenye list hii. Kama ni grade naomba ungoje hadi tovuti ya wizara ya elimu ikubali kufunguka ili niyadownload.
   
 16. E

  Eunda Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  asante kaka, nitizamie Mary Daud - 111A.
   
 17. L

  Luambano steve Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona haifunguk au bado hawaja ruhusu?funguen bwan watu tunahamu kugoma tena.
   
 18. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu niangalizie panda lucas na maige jeja(diploma)
   
 19. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mkuu nimekupm umepata? Nimepata Panda Lucas tu!
   
 20. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Panda lucas chuo gani?
   
Loading...