Waliooa ni vijembee nawakubali

Kuoa ni jambo la heshima sana. Ingawa sikuhizi taasisi hii imevamiwa na watu wasio makini wanaofunga ndoa ilimradi tu. Ukimpata mtu sahihi mwenye utayari wa kuwa mke inapendeza sana.
 
Hio namba moja ndio iliwaponza wengi sana wakakimbilia huko ndoani.
Ila matokeo yake ndio tunashuhudia nyuzi za kila mara humu, "Mke wangu hanipi chakula cha usiku",,,,,"Wife ananinyima tunda mwezi wa 3 huu",,,,"Mke msumbufu kutoa tendo la ndoa",,,"Shemeji yenu anasema hajiskii kufanya mapenzi naumia sana",,,"Nmeamua kutafuta mchepuko wife hanipi sex"...n.k!
 
Kama ulipitia haya na ukawa mpole basi una nafasi yako ya pekee kwenye ufalme wa mbinguni. Cha msingi zingatia uachane na tamaa uroho wa kupenda kuomba omba hela kama wenzio utaolewa fasta sana. Amini kwamba!!!
 
Mna raha sana nyie mnakula gegedo muda wowote.
Juzi juzi nilimuona mrembo mmoja kkoo, hisia zikaniambia huyu mrembo ni yule Mzigua90 wa jamii forum. nakaishia tu kuwasimulia raia niliokuwa nao kwamba jf kuna dada mmoja mrembo sana , anawakimbiza wenzake vibaya sana.
 
Hahahahahaa.. ningekua na urembo huo wa kuwakimbiza mbona mngekoma ningeringa balaa.
Sio mimi kabisa sijaigusa kariakoo toka February
 
Hahahahahaa.. ningekua na urembo huo wa kuwakimbiza mbona mngekoma ningeringa balaa.
Sio mimi kabisa sijaigusa kariakoo toka February
Yule dada (mzigua90 niliyemdhania) alikuwa kapanda juu. Ana shape kama lile la Nick Minaj. Macho yanaita. Nywele nyeusi laini kama za Nandy kwenye wimbo wake HAZIPO. Nyuma mambo sio haba. Bado kidogo akaribie Mariamu Biriani.
 
Kwa hiyo sijakupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…