Walionyimwa mikopo watafikaje nchi ya ahadi?


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,876
Likes
8,694
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,876 8,694 280
Unajua kila mtu anapozaliwa anatarajia kuishi maisha ya amani utulivu na mazuri
akuna anaezaliwa na kusoma na kusema aisee nikimaliza shule natarajia kuwa na maisha magumu sana huyu kama yupo basi somalia tena kwa kuchanganyikiwa na hhali halisi..nimesoma nimeumia sana sana sana jamani kusoma kwamba ati jamaa wanashindwa kupelekwa shule au kulipiwa
chuo kwa kuwa na bajeti nndogo..nimejiuliza hii nchi inatupeleka wapi??hivi awana habari kuna wilaya imetoa mtu mmoja tu kufaulu
tena kapata div 3 na leo unamnyima mtu huyu ambae wananchi wamemchangia nauli kuja tanzania jamani kwa nini watu wasivamie bank kwa style hii???embu jamani mwenye akili semeni ukweli wale wahuni wa barrick wanapeleka mchanga wa dhahabu ambao ukiona wanachotulipa unajuta kwa nini ulisoma ....wale jamaa wa mbeya wajermany wanachimba migodi jamani na huku watanzania wanaweza kufanya kazi hiyo hiyo
Hivi kikwete anatupeleka wapi hii nchi

Hawa wamesoma wakiwaza kufika nchi ya ahadi walioonyeshwa na Mwenyezi Mungu je kikwete uhoni kuwafanya awa wawe majambazi unachota laana za familia yako...je mwanao nae angeambiwa ajilipie enzi zile ungekuwa hapo mh rais ..mbona tunawanyanyasa hawa watoto wa maskini
nenda kaangalie kwenye list ya waliopata

mngeleja
kikwete
mwandosya
mbilintyi
mnyika majina ya ndugu wa vigogo tu najiuliza hivi hii nchi usipokuwa kwenye system nchi ya ahdi inabakia NDOTO Kwakko
Polen Mungu anajua mwisho wenu Tangu mwanzo anajua wazazi wenu walivyouza pamba na kokoto mmalize shule salama
bahati Mungu akawapasisha na bado serikali awataki kuamini mnaweza kusoma vyuon jaribuni kwingine huku mkiomba sehemu nyingine elimu ufunguo wa maisha msiache kusoma kwa hali yoyote ile Mungu awabariki na kuwaonyesha njia ilipo nchi ya ahadi
 

Forum statistics

Threads 1,238,260
Members 475,878
Posts 29,313,917