The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 836
Asanteni sana ndio neno la kwaza naanza nalo.
Nilileta mada hapa mnishauri jinsi ya kuacha kuangalia video za uchi na kujichua.
Kuna walio nishauri, walio ni benza na kunidharau na kunidhihaki kama sitokuja niache.
Kuna walio nipa moyo kwamba Ata ikitokea nimejaribu kuacha ila nkafanya nisikate tamaa
Leo inakaribia mwezi wa pili sasa sjaangalia wala kujichua na sio kawaida yangu mana ilikua haipiti siku 3 bila ya kufanya hivo
Asanteni sana wana JF mungu atawalipa mema. Amina