Waliomwombea dua RC Makonda mbona hawakemei maovu yake?

Wadau tunawaomba wale wote waliomwombea Mh.Makonda DUA kwenye Nyumba zao za Ibada wazitumie Nyumba hizo hizo kulaani Na kukemea maovu aliyoyafanya Bw.Makonda.Kitendo hicho kitatupa imani Na viongozi hao wa Dini.
Nyumba za ibada. Siku njema
 
Yule sheikh wa Bakwata Dar ni mchumia tumbo tuu
Hakuna popote anasalisha wala kufundisha dini,yeye kila siku yuko nyuma ya Bashite au kwenye semina na makongamano au mikutano ya siasa
Ni fedheha kwa Waislamu na Uislamu
 
Wadau tunawaomba wale wote waliomwombea Mh.Makonda DUA kwenye Nyumba zao za Ibada wazitumie Nyumba hizo hizo kulaani Na kukemea maovu aliyoyafanya Bw.Makonda.Kitendo hicho kitatupa imani Na viongozi hao wa Dini.
Kinyume na hapo wote wamoja katika maovu.
 
Wadau tunawaomba wale wote waliomwombea Mh.Makonda DUA kwenye Nyumba zao za Ibada wazitumie Nyumba hizo hizo kulaani Na kukemea maovu aliyoyafanya Bw.Makonda.Kitendo hicho kitatupa imani Na viongozi hao wa Dini.
wape wape
 
Jamani eeeeh...chonde chonde.Siyo waumini wote walioshiriki kumuombea dua.kwa sisi waislam huyo sheikh apigwe madongo peke yake.
 
Wadau tunawaomba wale wote waliomwombea Mh.Makonda DUA kwenye Nyumba zao za Ibada wazitumie Nyumba hizo hizo kulaani Na kukemea maovu aliyoyafanya Bw.Makonda.Kitendo hicho kitatupa imani Na viongozi hao wa Dini.

Nyumba ya IBADA ni kwa Gwajima tu.
 
Hapa ndio tunawaona kumbe viongozi wengi wa dini ni wanafiki sana nchi hii haswa yule anaejiita shekhe wa dar njaa ndio inamsumbua
 
Wadau tunawaomba wale wote waliomwombea Mh.******* DUA kwenye Nyumba zao za Ibada wazitumie Nyumba hizo hizo kulaani Na kukemea maovu aliyoyafanya Bw.*******.Kitendo hicho kitatupa imani Na viongozi hao wa Dini.
Mkuu usitegemee kitu kama hicho kwa wapenda vya bure,wale ni njaa kali wanaoishi kwa unafiki
 
Back
Top Bottom