Hivi huyu si ndiyo yule mswahili wa kariakoo bingwa wa udini JF? au sijamwangalia vizuri Hijabu yake? maana mpaka mitandio ya kwenye taarabu siku hizi Bakwata wanaiita Hijabu!!ungekua mwanaume tungekuita bwabwa
thanks bro!
i will send to friends and relatives
That's TRUE!
****!!!!
1. Three laptops - ????????
2. Three phones - ????????
3. SMG and Pistol - ???????
4. Mwizi asiyekuwa na jina kavificha vitu kwa mama mdogo - ????????
5. Watu watano washikiliwa na polisi - hata kwenye TV tusiwaone - ????????
6. Vitu vilivyoko kwa mama mdogo - hata kwenye TV visionekane - ??????
I can see too much force applied to fake the whole issue, Binafsi sijali Malima kuibiwa vitu vyake sababu hainiongezei wala kupunguza. Bali Mheshiwa RPC na Malima kaeni chini mpange uwongo mwengine - THIS IS BIG **** HATA KABINTI KANAKOSOMA CHEKECHEA KULE KIJIJINI TANDAIMBA KASINGEKUJA NA UWONGO HUU WA KIJINGA.
ungekua mwanaume tungekuita bwabwa
Hivi huyu si ndiyo yule mswahili wa kariakoo bingwa wa udini JF? au sijamwangalia vizuri Hijabu yake? maana mpaka mitandio ya kwenye taarabu siku hizi Bakwata wanaiita Hijabu!!
alafu na wewe Malima mi nadhani hela za kodi zetu walala hoi zinakuchanganya.Kujilimbikizia vitu vyenye thamani hivyo ndo nini wakati nchi hii tunashida kwelikweli,laptop 3 hata kama ungekuwa waziri wa habari pia bado hukuwa sahihi,simu za malaki 3,pete za almasi hii list inanikera kwelikweli...