Waliomo katika NDOA hubakwa na kudhalilishwa-TAFITI

Inaitwa Marital rape - watu wanaenda jela. Wenzenu hapa kijijini walipitisha sheria kabisa kuwa hata kama mlikubaliana na mkaanza kula lakini hata katikati ya mlo mwenzako akisema "hapana" inabidi urudishe mkono hata kama tonge lilikuwa linakaribia kuingia kooni!!!

Looo MM kijiji chenu hakifai kuishi,huku mtu anafumaniwa yuko karibia na chorus habanduki anamalizia then ndio anainuka
Inaitwa Marital rape - watu wanaenda jela. Wenzenu hapa kijijini walipitisha sheria kabisa kuwa hata kama mlikubaliana na mkaanza kula lakini hata katikati ya mlo mwenzako akisema "hapana" inabidi urudishe mkono hata kama tonge lilikuwa linakaribia kuingia kooni!!!

Wanaume wengi huenda nje ya ndoa kwa sababu tu ya utundu na vimbwanga vya hao munaowaita machangudoa. Wake zetu wanaboa kwa vile wanajilaza tu kama mgomba

ndio maana yake kwa kweli nimebaka mara nyingi sana kwa style hii, wanawake wa home wale wanafanya kazi sana za home, waume zao wakirudi wanakuwa wako hoi na wakati mwingine wamelala hoi wanakoroma, analazimishwa ile mbaya huyu ndiye anabakwa, sie tuko ofisini tunachoka pia lakini tukirudi mapema home tunapumzika na kufanya kazi ndogondogo tunakaa kusubiria mume aje,akija yuko hoi kwa kazi na pombe juu, humuelewi pia,inabidi umbake tu,hahhahahahhhaaaaa najoke jamani

Gaga huwa unanifurahishaga sana unavyo chanaga live bila ya upendeleo wala woga

ndio maana yake kwa kweli nimebaka mara nyingi sana kwa style hii, wanawake wa home wale wanafanya kazi sana za home, waume zao wakirudi wanakuwa wako hoi na wakati mwingine wamelala hoi wanakoroma, analazimishwa ile mbaya huyu ndiye anabakwa, sie tuko ofisini tunachoka pia lakini tukirudi mapema home tunapumzika na kufanya kazi ndogondogo tunakaa kusubiria mume aje,akija yuko hoi kwa kazi na pombe juu, humuelewi pia,inabidi umbake tu,hahhahahahhhaaaaa najoke jamani
Kwa hiyo ishu hapa ni kuwa kuna kubakana katika ndoa...

Kupo, nipale ambapo mtu analazimishwa kufanya tendo bila ya ridhaa yake. Hata kama tunaambiwa tusinyimane hii haimaanishi kulazimisha pale mwenza anapokataa.

Wanahakati wanatakiwa watumie akili. Kwa kawaida wanandoa hualala kitanda kimoja huku wamejifunika shuka moja bila ya kuvaa nguo aina yoyote hii inaashiria utayari wa tendo la ndoa, Sasa ubakaji unatokea wapi ?

ndio maana yake kwa kweli nimebaka mara nyingi sana kwa style hii, wanawake wa home wale wanafanya kazi sana za home, waume zao wakirudi wanakuwa wako hoi na wakati mwingine wamelala hoi wanakoroma, analazimishwa ile mbaya huyu ndiye anabakwa, sie tuko ofisini tunachoka pia lakini tukirudi mapema home tunapumzika na kufanya kazi ndogondogo tunakaa kusubiria mume aje,akija yuko hoi kwa kazi na pombe juu, humuelewi pia,inabidi umbake tu,hahhahahahhhaaaaa najoke jamani

Nimeipenda hiyo, Nawaza hapo sio kubaka bali ni nguvu ya ushawishi,

Mwanakijiji inawezekana kweli????TONGE LINAKUJA????hahahahaaa anaweza sema HAPANA kwa utamu
Inaitwa Marital rape - watu wanaenda jela. Wenzenu hapa kijijini walipitisha sheria kabisa kuwa hata kama mlikubaliana na mkaanza kula lakini hata katikati ya mlo mwenzako akisema "hapana" inabidi urudishe mkono hata kama tonge lilikuwa linakaribia kuingia kooni!!!

Hivi kulala UCHI NI LAZIMA EEENH????lakini kuingiliana kinyume na maumbile iz not fair
Wanahakati wanatakiwa watumie akili. Kwa kawaida wanandoa hualala kitanda kimoja huku wamejifunika shuka moja bila ya kuvaa nguo aina yoyote hii inaashiria utayari wa tendo la ndoa, Sasa ubakaji unatokea wapi ?

Wanaume wengi huenda nje ya ndoa kwa sababu tu ya utundu na vimbwanga vya hao munaowaita machangudoa. Wake zetu wanaboa kwa vile wanajilaza tu kama mgomba

hivi mkeo si memba wa hapa????anajua id yako???au hujaoa????unamtukana mdau,kama umeoa

Inaitwa Marital rape - watu wanaenda jela. Wenzenu hapa kijijini walipitisha sheria kabisa kuwa hata kama mlikubaliana na mkaanza kula lakini hata katikati ya mlo mwenzako akisema "hapana" inabidi urudishe mkono hata kama tonge lilikuwa linakaribia kuingia kooni!!!

Mkuu Hapo Pagumu, Kwa mtindo huo wengi tutapatikana na hatia.

Kumbe wabakaji wanachotakiwa kufanya ni kutangaza ndoa tu..
Ili wabake bila kwenda jela lol
na inatakiw wanawake watafute solution maana ndoa wanataka ila
kwenye ndoa nako kuna ubakaji
ukibakwa kwenye ndoa sheria haina say
kaazi kweli kweli.labda uwe unalala na watoto na jinsi wanaume mnapenda iyo kitu ehee daily jamani?

Mimipengine sijaelewa huu utafiti una maana gani. kwani kubakwa ni kuingiliwa kinyume na maumbile na mdomomni tu?. je wa kama mwanamke anakubali kuingiliwa kinyume kwa hiari yake ni sawa?. na hii ya mdomoni ina shida gani?????. Mimi naamini kubakwa ni kmwingilia mtu pasipo ukubali wake hata kama sio kinyume na maumbile. Hii mada imekaa tenge kidogo.IREKEBISHWE

hainiingii akilini .. mwanamke atakubali vp kufanya kitu ambacho hataki.. ok nawapeni mbinu wakina mama... mikilazimishwa tena na myanaume ya aina hiyo.... zivizie korodani zake... kusanya nguvu zako zoote mkononi afu zivute kwa nguuuvuu..

Come on guys! This is not good god dislike it, stop doing this to your beloved wife, but anayempenda atamjali, atamtunza na atamuheshimu pia hii ni kwa wote mke na mume maana yeyote anawezakufanyiwa hayo.bye

Back
Top Bottom