Waliomnyang'anya Maalim Seif ushindi wanajisikiaje? Ni lazma kuendesha nchi kwa dhuluma?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hivi wale waliofuta matokeo ya uchaguzi ZANZIBAR kisha wakatangazwa wao warijiskiaje?

Kwani ni lazima kujenga nchi kwa kudhurumu, kupora na kuua?

Mwisho wa siku wote mnakufa tu huwa mnaenda kujibu nini huko kama kutakua na maisha baada ya kifo?

Tanzania inanuka dhuluma,uonevu,ukandamizaji,damu na majasho ya watu ndo maana tuna kira kitu hatuendelei hii ni laana ya asili
 
Kuna aliyekufa aliyedhulumu akitokea zanzibar? weka majina usiogope
 
Hivi wale waliofuta matokeo ya uchaguzi ZANZIBAR kisha wakatangazwa wao warijiskiaje?

Kwani ni lazima kujenga nchi kwa kudhurumu, kupora na kuua?

Mwisho wa siku wote mnakufa tu huwa mnaenda kujibu nini huko kama kutakua na maisha baada ya kifo?

Tanzania inanuka dhuluma,uonevu,ukandamizaji,damu na majasho ya watu ndo maana tuna kira kitu hatuendelei hii ni laana ya asili
Jecha aliyeshurutishwa kufuta alishakufa.
Mkapa aliyekwenda kuforce matokeo yafutwe ameshakufa.
CCM ni dhuluma kuanzia kwenye chama chao wenyewe.
 
Jecha mheshimwa!!!,alisika mwanamziki wangu nguli akimwimba!!TX Moshi (MHSRIP),ahaaa kipindi nchi Ina heshima na adabu, inapigwa kwata pale Amana Hall mpaka alfajiri, halafu mdogo mdogo hadi magomeni, huna wasiwasi wowote kwenye bonde la jangwani
 
Back
Top Bottom