Waliomchoma mwalimu mshale shingoni wakioneshana ujasiri wakamatwa

Sasa ujasiri gani mpo wengi na silaha versus mtu mmoja asiye na silaha...
 
duh hatari
 
Haya ndo madhara ya kuivumulia CCM mpaka leo ingekuwa imetoka madarakani haya yasingekuwepo maana maisha yamekaza mpaka vijana wanafanya mambo ya ajabu.
 
Reactions: PNC
Huu ni ujinga na ushenzi mkubwa.
Nimepata hasira sana.
Natamani aliyefanya hivi anyongwe hadharani
Mimi ningekuwa Raisi huyu akishikwa na kosa mahakamani na kuadhibiwa kunyongwa hadi afe, ningemwaga wino mwekundu.
 
Ndiyo matatizo ya kutahiriwa ukubwani,Wangekuwa wametahiriwa utotoni hayo yasingetokea.Apumzike kwa Amani Mwalimu.
 
Kuna baadhi ya makabila mpaka Leo bado hayajastaarabika sijui ni Kwanini mpaka leo wanaendeleza Mila na tamaduni za kishenzi pasipo na kuangalia utu
 
Hao wanyongwe tu fala kabisa.
Vitu vingine vinatia hasira sana.
Pengine ana watoto na tayari wamesababisha yatima pumbavu.
 
Kwamba huko mikoani kipimo cha ujasiri ni kuomba hela? Dodoma ni ya ngapi kwa ujasiri?
 
Hao maisha yanawahusu gerezan iwe fundisho
 
Wakurya ni watu kwa sababu wanafanana na watu tu, lkn hawakupaswa kuwekwa kwenye jamii za watu waliostaarabika. Hawana tofauti na wanyama. Jamii iliyostaarabika hawawezi kuona kuuana au kujeruhiana ni ujasiri. Mbona wamasai wanapimana ujasiri, lakini sio kwa kudhuriana baina yao?!!!!
Kuna baadhi ya makabila mpaka Leo bado hayajastaarabika sijui ni Kwanini mpaka leo wanaendeleza Mila na tamaduni za kishenzi pasipo na kuangalia utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…