Waliomchoma mwalimu mshale shingoni wakioneshana ujasiri wakamatwa

Nahisi scenario imesugar-kotiwa kwa advantage ya marehemu. Anyways, siungi mkono mauaji ya hovyo.
 
Vita ni vita mura. Huko ndo home sina budi kukana ila dah nisiendelee kusema sana maana mkitembea huko ndani ndani kuna watu bado wanajua tu kuhusu ubabe na kujimwambafai mwambafai ww mpaka wanapewa kanda maalum unafikiri ni kwa mchezo mchezo ooooh mura ndakugecha.
 
Kuna mkurya mmoja alinambia wakienda huko ukuryani kama kijana wa kiume hana kovu hata moja (waliozaliwa town) wanamkata na kisu popote ili kumuachia alama ya ujasiri.
 
Ningekua Rais watu kama hawa nasaini wanyongwe tu ujasiri gani wa kipumbavu hivi. Hawa kesi haitakiwi kucheleweshwa ili wapumbavu wenzao wengine wapate fundisho.
 
Tarime punguzeni kulima na kuvuta bhangi. Ardhi yenu inafaa kulima miwa na mkajipatia kipato halali na maadili mema.
 
Ki ukweli nawachukia sna wanaharakati wanaopinga adhabu ya kifo. Watu kama hao wanastahili adhabu ya kifo tu, unakatisha uhai wa binadam mwenzako kwa upuuzi tu.
 
Mshale mmoja, mfyatuaji mmoja, wanakamatwa wengi, Mwaibambe unataka rushwa?
 
GENTEMIN... Njoo uwachukue wadogo zako huku wanaonesha ujasiri wa "visweta" vyao kwenye maisha ya mtu aliyeaga familia yake anaenda kutafuta ridhiki, akaishia kudungwa mshale wa singo... Daah!?
 
Sikunde tano kwa binadamu ni nyingi sana kukatisha/kuondoa uhai wake.

Nimejikuta najawa na hasira sana kwa kweli

Qumamae zao hao wasurubiwe kikamilifu.
 
Juzi niliona wenzetu wa Uingereza wanawafundisha watoto wa shule nadhani shule za msingi jinsi ya kukujihami dhidi ya shambulizi la kuchomwa kisu (kule ndilo janga kubwa kwa siku za hivi karibuni) huku lawama zote kwa kabila hilo badala ya kutafuta mbinu za kujihami!
 
Back
Top Bottom