PointHv nini maana ya mkopo unaanzaje kumkopesha mtu aliyesoma shule ya ada milion tano kwa mwaka akapat division one halafu umuache yule aliyesona shule ada laki moja akapt division two. Embu acheni kulaum kila kitu.
Hamna kitu kama hicho...kwanza nimegundua watu valuable katika jamii ni watu wenye ufaulu wa kati..div 2 ad 3....hao div one kwenye utendaji kazi ni mapunga kabisa, ukiangalia hata serikalini wasomi hao ndo mapoyoyo wakubwa tena from UD, kwenye kung'amua mambo ni poor...yaan ni one way thinking..hata shuleni huwez kuta wanapewa hata ukiranja....!!!.wapambane na hali zaoSometime inachekeshamnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama
Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo
But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo mkubwa na vipaji vikubwa sana ingetakiwa serikali iinvest kwao, iwatafutie vyuo bora na kuwasomesha ili kutoa madaktari bora kabisa wa kuja kulisaidia taifa”
Inashangaza kuona nane kati yao wamekosa mkopo na wawili ndo wamepata ufadhiri kutoka taasisi binafsi
Sawa wamesoma shule za gharama but hawa ni watu muhim sana wenye uwezo mkubwa wa kulisaidia Taifa mbeleni
HIzi ndio thinking za kimaskini na kipuuzi kabisa, Na tutaendelea kubaki hapa hapa wallahi.. kwa hiyo ulitaka wote wapate Div 2 and 3?Hamna kitu kama hicho...kwanza nimegundua watu valuable katika jamii ni watu wenye ufaulu wa kati..div 2 ad 3....hao div one kwenye utendaji kazi ni mapunga kabisa...yaan ni one way thinking..hata shuleni huwez kuta wanapewa hata ukiranja....!!!.wapambane na hali zao
Tatizo una hasira sana na inaonekana unatumia makalio kufikri....mkopo ninkwa ajili ya kusaidia wasiojiweza na sio reward kwa aliyefaulu.....alaf hii ni Tanzania na sio nchi za wenzetuHIzi ndio thinking za kimaskini na kipuuzi kabisa, Na tutaendelea kubaki hapa hapa wallahi.. kwa hiyo ulitaka wote wapate Div 2 and 3?
Christeve88 kumbuka tunazungumzia mkopo si ruzuku,huo ni mkopo ambao utalipwa,hivyo hujaambiwa umkopeshe wa ada ml5 dv 1 na umuache wa ada laki 1 dv2,hoja hapa ni kila mwanafunzi anahitaji mkopoHv nini maana ya mkopo unaanzaje kumkopesha mtu aliyesoma shule ya ada milion tano kwa mwaka akapat division one halafu umuache yule aliyesona shule ada laki moja akapt division two. Embu acheni kulaum kila kitu.
AsanteTatizo una hasira sana na inaonekana unatumia makalio kufikri....mkopo ninkwa ajili ya kusaidia wasiojiweza na sio reward kwa aliyefaulu.....alaf hii ni Tanzania na sio nchi za wenzetu
Kweli kuna ambao wamesoma private za gharama na wanaweza mudu cost za chuo but bodi itazame, si kila aliyesoma private anaweza kujilipia chuo. Private nyingine tukijikongoja zinalipika.Sometime inachekeshamnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama
Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo
But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo mkubwa na vipaji vikubwa sana ingetakiwa serikali iinvest kwao, iwatafutie vyuo bora na kuwasomesha ili kutoa madaktari bora kabisa wa kuja kulisaidia taifa”
Inashangaza kuona nane kati yao wamekosa mkopo na wawili ndo wamepata ufadhiri kutoka taasisi binafsi
Sawa wamesoma shule za gharama but hawa ni watu muhim sana wenye uwezo mkubwa wa kulisaidia Taifa mbeleni
Sometime inachekeshamnaweza sema kwa sababu wamesoma shule za gharama
Ooh wazazi wao wana pesa wawalilie na chuo
But turud katika ukweli “ hawa ni watu wenye uwezo mkubwa na vipaji vikubwa sana ingetakiwa serikali iinvest kwao, iwatafutie vyuo bora na kuwasomesha ili kutoa madaktari bora kabisa wa kuja kulisaidia taifa”
Inashangaza kuona nane kati yao wamekosa mkopo na wawili ndo wamepata ufadhiri kutoka taasisi binafsi
Sawa wamesoma shule za gharama but hawa ni watu muhim sana wenye uwezo mkubwa wa kulisaidia Taifa mbeleni
Ndio waliomba..lakn wamekosa sifaKama waliomba mkopo means wanahitaji hivyo wapewe
Ficha chuki yako dhidi ya udsm, kama uliomba wakakutosa vumilia ndio maisha, kuna kupata na kukosa!Hamna kitu kama hicho...kwanza nimegundua watu valuable katika jamii ni watu wenye ufaulu wa kati..div 2 ad 3....hao div one kwenye utendaji kazi ni mapunga kabisa, ukiangalia hata serikalini wasomi hao ndo mapoyoyo wakubwa tena from UD, kwenye kung'amua mambo ni poor...yaan ni one way thinking..hata shuleni huwez kuta wanapewa hata ukiranja....!!!.wapambane na hali zao
Ahsante sana kwa ku damp intellectuals wa taifa hiliTumia akili kufikiria mkuu..huo ni mkopo kwa wale wasioweza kujisomesha chuo na sio fadhila kwa waliofaulu