Roho ni kiini cha uzima kinachoenea mwilini kote ,Mambo ya Walawi 17:11 Moyo unaposukuma damu, unatawanya uzima mwilini kote. Moyo ukisimama, uzima (roho) huondoka.Roho inapatikana wapi sehemu ya mwili...
Mpende BWANA MUNGU wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote.....Roho ni kiini cha uzima kinachoenea mwilini kote ,Mambo ya Walawi 17:11 Moyo unaposukuma damu, unatawanya uzima mwilini kote. Moyo ukisimama, uzima (roho) huondoka.
YESU aliye hai...Tatizo hakuna aliyefariki akarudi kuja kusimulia kinachoendelea baada ya kifo.
Yani kumwabudu au kumsifu Mungu ni jambo kubwa sana na si lazima uende kanisani waweza sifu kwa kutizama ,anga,milima,bahari, miti ,watu ,hewa,radi ,nyota n.k ukiweza kumtambua Mungu kwenye hivi vitu na kumpa sifa utajifunza mambo mengi sanaNao wamwabuduo MUNGU imewapasa wamwabudu katika ROHO na kweli...
Hakuna kitu kinaitwa Roho Acha uongo na blablaUmeongelea mwili ila Roho haifi
Mimi nadhani ni kutumia mda mwingi katika kumeditate maana hata YESU, mda mwingi akikuwa anashinda milimani unique..Yani kumwabudu au kumsifu Mungu ni jambo kubwa sana na si lazima uende kanisani waweza sifu kwa kutizama ,anga,milima,bahari, miti ,watu ,hewa,radi ,nyota n.k ukiweza kumtambua Mungu kwenye hivi vitu na kumpa sifa utajifunza mambo mengi sana
Akili= Sehemu ya utambuzi na kufanya maamuzi na kutambua baya na jema na kufanya jambo kwa busara.Mpende BWANA MUNGU wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote.....
Nini maana ya
AKILI
ROHO
MOYO katika fungu hili.
Sawa Take it or leave it Bush DoktaHakuna kitu kinaitwa Roho Acha uongo na blabla
Kila mtu atabeba flush lake! sema "naenda peponi"Mungu ni mwema, tunaenda peponi
Energy huwezi kuiweka sehemu, Energy ni powerRoho inapatikana wapi sehemu ya mwili...
Nani aliye create energy mkuu.Energy huwezi kuiweka sehemu, Energy ni power
Ni sawa na useme nguvu ya sumaku inapatikana wapi kwenye sumaku
Kama energy imecreatiwa na Mungu je huyo Mungu ameumbwa na nani?Nani aliye create energy mkuu.
Mungu hachunguziki...Kama energy imecreatiwa na Mungu je huyo Mungu ameumbwa na nani?
Naomba unisaidie kwa kina zaidi.YESU aliye hai...
Kuhusu nini mkuu!!!Naomba unisaidie kwa kina zaidi.