Walioko Botswana nahitaji msaada

Msekule

Member
May 14, 2019
86
75
Ndugu wana jukwaa habari za mapumuziko ya weekend.
Naitaji kuanza safari yangu jumatatu, na hapo awali ilikuwa niende SA lakini kulinga na details nilizopata naona nianzie kwanza Botswana nicheki upepo wa maisha ukoje.

Kwa wale walioko Botswana naombe msaada ni mji gani ulio na unafuu wa maisha na upatikanaji wa kazi ukoje?
Asanteni
Nawasilisha.
 
Kwan bongo hakuna mashoga au ndo unatangaza biashara, acha ubwege mashoga wananiusu nini mimi.

We kweli msukule, unajibu ili uonekane unabisha!! Bure kabisa. Botswana wamehalilisha kabisa kisheria hata mwanao akiamua huwezi lalamika kisheria, bongo inawezekana. Botswana unaweza fumania mashoga na usishtaki kisheria bongo sheria inapinga hicho kitendo kama ukiweka mtego ukamshika mwanao au nduguyo. Halafu nadhani utakua shoga wewe unatete upuuzi kabisa. Msenge mkubwa wewe. Peleka makalio Botswana kule ruksa, Tanzania huo ushenzi hatutaki ingawa jamii haijielewi. Bure kabisa wewe.
 
Nilichoandika na mchangiaji alichojibu ni tofauti sna, mashoga wako kila sehemu sasa mimi naenda kusaka maisha au naenda kutafta ushoga?

Hata mimi nimechangia kimtazamo wangu, unataka nichangie unavyotaka wewe??!! Hili jukwaa huru alaaa
 
We kweli msukule, unajibu ili uonekane unabisha!! Bure kabisa. Botswana wamehalilisha kabisa kisheria hata mwanao akiamua huwezi lalamika kisheria, bongo inawezekana. Botswana unaweza fumania mashoga na usishtaki kisheria bongo sheria inapinga hicho kitendo kama ukiweka mtego ukamshika mwanao au nduguyo. Halafu nadhani utakua shoga wewe unatete upuuzi kabisa. Msenge mkubwa wewe. Peleka makalio Botswana kule ruksa, Tanzania huo ushenzi hatutaki ingawa jamii haijielewi. Bure kabisa wewe.
We jamaa fala sana. Hivi ulichokiandika kinahusiana nini na mtoa mada. Sijui ukafumania mashoga ukawashitaki sijui nini....vyote vya nini?

Amber Rutty kaliwa tigo mpaka leo umesikia kafungwa? Yeye anakwenda kusaka maisha habari ya mashoga inamhusu nini? Huko Ulaya na Marekani watu wanakokwenda na kuna ushoga mbona husemi. Sio kila topic lazima ucomment, zingine pita kimya.
 
Umngempuuza tu,ajielewi huyo
 
Yani sielewagi akili ya sisi watanzania tukoje, mimi nimeleta kitu tofauti kabisa lakn michango ya watu fulan unleta mada za ushoga.
 
We jamaa fala sana. Hivi ulichokiandika kinahusiana nini na mtoa mada. Sijui ukafumania mashoga ukawashitaki sijui nini....vyote vya nini?

Amber Rutty kaliwa tigo mpaka leo umesikia kafungwa? Yeye anakwenda kusaka maisha habari ya mashoga inamhusu nini? Huko Ulaya na Marekani watu wanakokwenda na kuna ushoga mbona husemi. Sio kila topic lazima ucomment, zingine pita kimya.
Kweli kaka yani kuna watu hapa jf wanajidaiga wanajua kila kitu na ku discourage wengine hali kwamba wao wamefanikiwa. Ndo wale ukifika huko utaskia tupe michongo na sisi tuje.
 
We kweli msukule, unajibu ili uonekane unabisha!! Bure kabisa. Botswana wamehalilisha kabisa kisheria hata mwanao akiamua huwezi lalamika kisheria, bongo inawezekana. Botswana unaweza fumania mashoga na usishtaki kisheria bongo sheria inapinga hicho kitendo kama ukiweka mtego ukamshika mwanao au nduguyo. Halafu nadhani utakua shoga wewe unatete upuuzi kabisa. Msenge mkubwa wewe. Peleka makalio Botswana kule ruksa, Tanzania huo ushenzi hatutaki ingawa jamii haijielewi. Bure kabisa wewe.
Bwege kabisa wewe bira shaka umeshawai pigwa nyuma maana umekomalia sana mada ya ushoga
 
We jamaa fala sana. Hivi ulichokiandika kinahusiana nini na mtoa mada. Sijui ukafumania mashoga ukawashitaki sijui nini....vyote vya nini?

Amber Rutty kaliwa tigo mpaka leo umesikia kafungwa? Yeye anakwenda kusaka maisha habari ya mashoga inamhusu nini? Huko Ulaya na Marekani watu wanakokwenda na kuna ushoga mbona husemi. Sio kila topic lazima ucomment, zingine pita kimya.
Watu wanaowaza waza ushoga mara nyingi ni mashoga wao wenyewe au wanashiriki vitendo fulani vya ushoga gizani!
 
Ndugu wana jukwaa habari za mapumuziko ya weekend.
Naitaji kuanza safari yangu jumatatu, na hapo awali ilikuwa niende SA lakini kulinga na details nilizopata naona nianzie kwanza Botswana nicheki upepo wa maisha ukoje.

Kwa wale walioko Botswana naombe msaada ni mji gani ulio na unafuu wa maisha na upatikanaji wa kazi ukoje?
Asanteni
Nawasilisha.
Miji iliyochangamka ni gaborone na francistown ila kuna wakimbizi wdngi kutoka zimbabwe na mozambique ambao wana uelrwa mzuri sana wa lugha na mazingira hivyo huajiriwa mapema kabla ya wahamiaji kutoka bongo. Kila la kheri ktk kupambana mtangulize Mungu
 
Watanzania kama nyie ndo mnaitajika katika Taifa, lakn mabwege wengine kujifanya wanajua na kudharau wengine.
 
Back
Top Bottom