Waliokaribishwa EID MUBARAKA kwa KakaKiiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliokaribishwa EID MUBARAKA kwa KakaKiiza

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KakaKiiza, Aug 19, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,751
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Ngoja kwanza nimalizane na wageni then nakuja na familia yangu.....tuko saba tafadhali.....................LOL
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,483
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... nimemiss!!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,019
  Likes Received: 5,190
  Trophy Points: 280
  KakaKiiza, nimekukubali, msosi heavy nimeinjoiiiiiiiiiiiiii eid oyeeeee


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 84,548
  Likes Received: 57,431
  Trophy Points: 280
  KakaKiiza acha utapeli unanikaribisha bila ya kunipa ya ramani...............
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,385
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  KakaKiiza pilau imeisha ? maana mwaliko nimeuona leo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Kuu mambo ya google unauliza ramani mamboyote kiganjani dunia ni kijiji!!!
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Haujachelewa kwani Eid pili inaendelea njoo tu karibu sana!!
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kushukuru karibu tena siyo eid ndo iwe mwisho njoo nasiku zingine mlango uko wazi!!
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa waliofika ila kwa wale ambao hamkupata nafasi yakufika Eid pili nawangojea!!
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,625
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Thanks KakaKiiza sikuona hii mapema maana nilikuwa nakula ndizi huko kusikofikika net..... Laaaaaaaaa nimemiss mengi! bado kuna masalia?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kakakiiza, hata kama nimeikosa pilau uliyoiandaa kwa wageni waalikwa, nashukuru kwamba hukuniacha mbali. Du! siku nyingine ni vizuri kupigiana simu bwana, mtandao ulilala ndio leo unaamka na pilau ndiyo hiyooooooooo! Thanx anyway.
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Mkuu hakuna shaka karibu tugonge hata Valeur moja:eek2:

  Mkuu haina tabu sikuku zipo nyingi hata weeked ni siku kuu kaka nikujipanga karibu sana!
   
 15. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,062
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  kumbe siku hizi free Masonry wapo kila mahla
   
 16. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,942
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  KakaKiiza style ya kukaa ndo kikwazo kwangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,335
  Likes Received: 3,601
  Trophy Points: 280
  Ingawa hujanialika, sio mbaya.
  Langu leo ni POLE SANA kwa yaliyokufika mkuu, nimepata taarifa this morning thru
  E. Mambali wa Sinza Moli.
   
 18. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Ahaaaa mbona yeye sikumuona??Mwambie mimi ni ndugu yake!!aachane na tofauti zilizopo kwani ni yeye alizisababisha!
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,335
  Likes Received: 3,601
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha,
  Kumuona kwenye lile tatizo la 31st Aug au Mnuso wa EID??.
  Anyway, kanihadithia story moja ya rafiki yake/yenu mmoja hivi ambae mlikua nae pale kwake nikacheka sana aisee.
   
Loading...