Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,671
- 853
Nipe msaada wa Ramani tu1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Nipe msaada wa Ramani tu
1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Kwa ujenzi wa Dar mkuu umetumia 10mill basi uliumana na mafundi kweli kweli!1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Kwa ujenzi wa Dar mkuu umetumia 10mill basi uliumana na mafundi kweli kweli!
Hongera sana mkuu Mungu akuualie 2022 uhamie kwako1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Ni vizuri ukatujulisha na ukubwa wa nyumba yako pia
Hongera sana mkuu Mungu akuualie 2022 uhamie kwako
Me nimeanza Sept. Nipo msingi napambana January niinue Boma kama hivyo inafanana requirements kama yakoAmina mkuu Mungu ajalie!
Nimeona kama kuna na septic umechimba na kufunika, ni sahihi? Na kama ni sahihi ipo included kwenye hiyo ten?1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Asante sana kwa uzi huuHeshima sana wakuu,
Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021. Najua kwamba wapo wengi walitamani.
kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni ukweli usiopingika kwamba baadhi yao wameweza kuanza ujenzi, wapo walioishia katikati, wengine wamemaliza na huku wengine wakiwa hawajaanza kabisa.
Vilevile mwaka huu ume-trend zidi kwenye sekta ya ujenzi hasa kutokana na ukweli kwamba bei ya vifaa vya ujenzi mfano cement na bati ilipanda maradufu.
Kutokana na hayo naomba tupeane uzoefu kwa wale wote walioanza ujnzi wa nyumba zao mwaka 2021 ulifanikiwa vipi kuanza ujenzi na ni kwa namna.
gani ulipambana mpaka kufikia hapo.
Itapendeza zaidi kama utaweka specification za nyumba yako mfano vyumba viwili na sebule na gharama yake mfano milioni 30.
kwani mchanganuo huo utachagiza ari na morali ya wanabodi lakini pia utatuongezea mwanga na kutupa funzo kubwa la kusonga mbele na kutokukata tamaa.
kama sio kuahirisha ahirisha ujenzi wa makazi yetu tarajiwa.
Kwa heshima yenu nawasilisha
NakaziaHivi unajengaje njiani wakati duniani tunapita..!!
Ebu kula pombe wewe, utafukiaje pesa..??