walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

ugali dagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,281
Reaction score
1,127
hatimaye walioitwa kwenye usaili pccb majina yatoka investigation officers, assistant investigation officers, office assistant, drivers, human resources officers, procurement officers, personal assistant nk

cheki kwenye website (advert) nishindwa kuweka link
 
acha kudanganya watu.,labda hayo majina yapo kwny website yako..,lakn kwny website ya pccb ambayo ni PREVENTION AND COMBATING OF CORRUPTION BUREAU which is an official website for pccb hakuna kitu kama hicho

Ni kweli yametoka na tarehe ya usahili pia.

Mkuu hizo website huwa hawazi-update so ukitegemea upate habari kwenye hizo website za serikali utasubiri sana....
 
nimekuwekea link tatizo lako hujui computer halafu unaita watu waongo
 
Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.
 
Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.

So what

Just for love
 
Haha haha haha mshiriki namba 1266 kipengele cha office attendand.(2.2) anaitwa Mburahat primary school.
Hee na shule nayo iliapply kaz au??
 
mimi nili apply assitant investagators,lkn nimepelekwa security guards,nimeamua tu kuendelea tu kusoma na degree yangu
 
Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.

Acha hasira hata kama hujawa shortlisted, jaribu siku nyingine
 
Watanzania bado sana, this is supposed to be very confidencial. What if nina kazi sehemu nataka nichomoke kimyakimya nikipiga interview nikipata ndo nimjulishe mwajiri wangu? Can you imagine ajue kuwa nina intention ya kuondoka then nipigwe chini kwenye interview- si trust inaweza kuvunjika? Si atajua niko mguu nje mguu ndani siku zote? This is a serious breach of confidentiality.
 
Watanzania bado sana, this is supposed to be very confidencial. What if nina kazi sehemu nataka nichomoke kimyakimya nikipiga interview nikipata ndo nimjulishe mwajiri wangu? Can you imagine ajue kuwa nina intention ya kuondoka then nipigwe chini kwenye interview- si trust inaweza kuvunjika? Si atajua niko mguu nje mguu ndani siku zote? This is a serious breach of confidentiality

ungeandika kiswahili tungeelewa zaidi, hii lugha ya malkia, niko jamaa hapa yeye alifanikiwa kusoma zile shule za akademia anasema kingereza chako kimevunjika
 
Back
Top Bottom