Waliohitimu kidato cha sita ni wachache sana ukilinganisha na waliohitimu darasa la saba

kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,543
2,000
Kumbuka F6 ni Formal education
1. Kuna watu wanamaliza Std 7 wanadrop na ku opt kufanya Biashara+ Ufundi
2. Kuna wanaomaliza F4 wanadrop au kuopt kufanya VETA+ Diploma+ Certificates
Na hii kauli ya Politicians kuwa mbona % flani ni ndogo mimi siiamini kabisa. Not necessary ufike F6 au University ndo ueze kuendeleza nchi.
Mtu aliemaliza std 7 aka opt Ufundi au F4 alieamua kufanya VETA anaweza kuwa the best ktk industry kuliko hao unaowataka % yao iongezeke F6.
3. Usi force kila mtu afike F6 au Universities!! Anaweza akafika F6 akapata Div 0 au IV !!
Elimu ni Facts= Science Mtihani umewekwa anaefaulu hata akiwa kijijini basi acha apite. Anaefeli afanye mambo mengine.
4. Tusiabudu White color job sio lazima kufika F6 + university
Mawazo yako ndio ya wanasiasa wetu. Mtoa mada ana hoja kubwa, wahitimu f6 tuwategemeao kuingia vyuo vikuu kupata taaluma ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watu wa nchi. Maendeleo ya nchi huletwa na RAIA kwenye elimu ya kutosha. Huwezi ringanisha machinga, mama Lishe au kuuza duka wa std7 au f4 na graduate. Kuwa na wajinga wengi ni mradi wa watawala wasiojiamini, kwani ni rahisi kumtawala mjinga.
, hana uwezo wa kuhoji.
 

Carica_papaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
487
500
Kwanza kabisa nisamehe nitachanganya lugha.

Pili, nimejaribu kufanya a quick search nikichukulia mfano wa US - the land of opportunities, as they claim - tuangalie a few facts:
1. Millionaires (with at least $1 million net worth) ni asilimia takribani tatu (3%) tu ya wamarekani wote. This is like 11.8 million households. Sasa how walio-dropout out of high school au hata college ni wangapi katika hiyo asilimia tatu? Na watakuwa wangapi ambao utajiri wao siyo wa kurithishwa?
2. Halafu ukiacha kumaliza tu sekondari na vyuo, hata aina ya shule na vyuo ina athari kwenye mafanikio: In 2017, 80% ya Forbes' most powerful people attended elite schools, 94% of Fortune 500 CEOs attended college/an elite school, 91% of Forbes billionaires attended college/an elite school, etc.

Kwa kifupi ni hivi:
- watu exceptional wako duniani kote lakini ni asilimia ndogo sana. Most people have to conform to the norm to survive.
- Tunahitaji asilimia kubwa ya watu wenye ujuzi na elimu kuliko matajiri na wamiliki. Simply, tajiri atamiliki viwanda na kampuni lakini watendaji bado watahitajika na hivyo watendaji lazima wawe na ujuzi - ujuzi utapatikana aidha kwa elimu ya vitendo akiwa kazini au darasani
- Bado kuna sekta nyingi zinahitaji watu walioelimika ngazi ya chuo kama kwenye fani za sayansi na sekta za fedha, sheria, usanifu, ualimu, nk

Muhimu ni kuzingatia aina na ubora wa elimu inayotolewa katika ngazi zote, hasa ngazi za awali. Vile vile namna elimu inavyotolewa ni muhimu sana kwa sababu kwa kadri teknolojia inavyobadilika na vumbuzi zinavyoongozeka, ndivyo na uwasilishaji wa elimu unahitaji kubadilika na kuakisi.

Inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 30 ya fani zitakazokuwepo mwaka 2050 bado hazijavumbuliwa leo, na nyingi zitakuwa kwenye AI or a result of AI..zaidi ya asilimia 25 ya fani zilizopo leo hazitahitajika mwaka 2070 (obsolete)...2018 71% ya masaa ya kazi yanafanyika na binadamu na 29% kwa mashine (automated) ila ifikapo 2022 itakuwa 58% binadamu kwa 42% mashine.

Tumejipangaje kama taifa?

Baadhi ya vyanzo:
- https://nypost.com/2019/03/14/the-us-has-more-millionaires-than-greece-has-people/
- http://theconversation.com/the-myth-of-the-college-dropout-75760
- https://www.oecd.org/employment/future-of-work/
- http://www3.weforum.org/docs/WEF_Future_of_Jobs_2018.pdf
I concur with your argument!! Lengo la Exams ni kupima uwezo wa wanafunzi. Sasa Tukubaliane je Tunapinga hiyo pyramid model ambayo ipo Applicable Globally kuwa Mnaanza wengi mnamaliza wachache kwa "KUPANUA GOLI" it means kutunga mitihani yenye low Quality ili wanafunzi wengi wafaulu au Kupungunza Cutting point za Kuingia F5 & Universities.
US, UK, Japan, China wapo very keen with Education sector. Soma Kitabu cha THINK BIG & GIFTED HANDS utaona jinsi yule Daktari bingwa wa Neuro surgery (Dr. Ben Carson) Alivyo struggle against his odds while he is schooling. When He was at Saphamore level (F4 level) he used to get low Grades!! Which means ilibidi awe anashinda kusoma vitabu vingi + kuongeza jitihada za kusoma.
Even kufanya kazi NASSA huwa wanaselect the most Cream student!!!
 

Carica_papaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
487
500
Ni sawa lakini uwepo uwiano linganifu, ukiweka marathon ya km200 wanaweza anza 1000 wakamaliza wawili, ndio maana marathon ni 5km 21km na 42km. Tuweke strategy ili basi angalau 30% ya wanaomaliza la saba waweze kumaliza form six na sio 8% ya sasa, tusijidanganye bila kuwa na watu walioelimika hatuwezi pata maendeleo ya kweli, tutakuza uchumi tutajenga viwanda wahandisi watakuwa wahindi na marubani watakuwa waethiopia.
Amekwambia nani Elimu ndogo ndio sababu ya Wananchi kuwa na lack of political consciousness???
Researches zikifanyika unaweza kukuta ni other Variable factors zina influence political consciousness!!!
Unataka kuniambia Professor wa chuo kikuu ndo wapo bora ktk political participitation comparable to F4 leavers???
Tuache siasa Watanzania.
Kila kitu kimekua ni siasa!!
 

SueIsmael

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
633
1,000
I concur with your argument!! Lengo la Exams ni kupima uwezo wa wanafunzi. Sasa Tukubaliane je Tunapinga huyo pyramid model ambayo ipo Applicable Globally kuwa Mnaanza wengi mnamaliza wachache kwa "KUPANUA GOLI" it means kutunga mitihani yenye low Quality ili wanafunzi wengi wafaulu au Kupungunza Cutting point za Kuingia F5 & Universities.
US, UK, Japan, China wapo very keen with Education sector. Soma Kitabu cha THINK BIG & GIFTED HANDS utaona jinsi yule Daktari bingwa Neuro surgery Alivyo struggle against his odds while schooling. When He was at Saphamore he used to get low Grades!! Which means ilibidi awe anashinda kusoma vitabu vingi + kuongeza jitihada za kusoma.
Even kufanya kazi NASSA huwa wanaselect the most Cream!!!
Kwanza kabisa, mitihani si kipimo cha ubora wa elimu. Huwa ninashangazwa sana na idadi ya mitihani ya taifa, licha ya mitihani ya shule, anayofanya mwanafunzi. (darasa la 4 na la 7, Kidato cha 2, 4 na 6). Halafu kurahisisha mitihani ili mwanafunzi afaulu hakumsaidii mwanafunzi wala taifa, zaidi ya kudanganyana tu. Waulizeni wakufunzi wa vyuo vikuu na elimu ya juu, hasa wale walioanza kufundisha miaka ya 80-90, wanavyopata shida na quality ya wanafunzi wanaowapata sasa.

Ikija kwenye elimu, lazima mitaala iakisi dira na sera ya maendeleo ya taifa ya miaka 30-50 ijayo. Lazima kuwekeza kwenye elimu na ujuzi (skills and not experience) hasa shule za awali, na vyuo vikuu na vyuo vya ufundi. Hapo ndio panahitaji kuhusisha haswa sekta binafsi maana kuitegemea serikali yenyewe hatutafika mbali, itaelemewa sana. Ubora wa elimu ni muhimu sana, hasa waalimu ( kwa sasa wanaopata Div III na IV ndio wanapelekwa kwenye ualimu), Vitendea kazi na mazingira salama. Ni muhimu pia kuzingatia yafuatayo maana yanaathiri mustabali wa elimu:
- kuzingatia lishe hasa kwa watoto chini ya miaka 5
- kuzingatia idadi ya watu Vs mgawanyo wa rasilimali na huduma za jamii.
- malezi bora majumbani na kwenye jamii
- usawa katika fursa kwa mtoto wa kike na wa kiume
- kuibua na kukuza vipaji na vumbuzi
- ushindani wenye afya kwenye masoko ndani na nje ya nchi, n.k.

Wenzetu wamefika mbali kwasababu walijiwekea kanuni na wakazizingatia. Ninaamini kuwa Elimu na Afya ndio sekta muhimu zinazokuhakikishia ustawi wa watu, na hizo sekta nyingine hustawishwa na watu waliostawi katika sekta hizo mbili
 

SueIsmael

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
633
1,000
Amekwambia nani Elimu ndogo ndio sababu ya Wananchi kuwa na lack of political consciousness???
Researches zikifanyika unaweza kukuta ni other Variable factors zina influence political consciousness!!!
Unataka kuniambia Professor wa chuo kikuu ndo wapo bora ktk political participitation comparable to F4 leavers???
Tuache siasa Watanzania.
Kila kitu kimekua ni siasa!!
Ninakubaliana na wewe kuwa tukiendekeza siasa pekee na kusahau taaluma nyingine tunaharibu mengi.

Hebu twende pamoja kwenye hili:
Elimu inatakiwa imsaidie mtu kujitambua, kuelewa mazingira yake na kuweza kutumia rasili mali zinazomzunguka, kanuni na taratibu za jamii na ki/vipaji alivyonavyo kuishi vyema na kujiendeleza yeye na jamii yake. Hivyo kwanza kabisa lazima Elimu ikusaidie kujitambua na pili kukupa ujuzi.

Hivyo basi, inatakiwa kuwa, kadiri mtu anavyoelimika (hapa sizungumzii kuingia darasani tu), ndivyo anavyofunguka kiakili na kiutashi. Kwa maana hiyo, kumshawishi mtu aliyesoma hesabu kuwa 1 + 1 siyo 2, unahitaji ushawishi wa ajabu. Lakini kama mtu hajasoma hesabu, ni rahisi kumwambia 1 + 1 ni 3 na akakubali kwakuwa hana sababu ya kukubishia.

Ni kwa namna hiyo hiyo, ni vigumu kwa mwanasiasa kumwambia mtu aliye na elimu ya uraia kuhusu haki na wajibu wake wa kupiga kura, kuwa kitambulisho cha mpiga kura ni mali ya chama, au kwa yule anayejua kusoma na kuandika kupigiwa kura bila kujua aliyechaguliwa kwa niaba yake ni chaguo lake au la.

Japo political consciousness and participation ni beyond the ballot box, political apathy comes with the lack of ability to exact change when you are conscious of the change you expect.
 

UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,753
2,000
HAO HAPO SOME OF BILLIONAIRES AMBAO WALI DROP FROM SCHOOL!!!!
1.Bill Gates: He is the billionaire co-founder of Microsoft Corporation, the world largest software company. Dropped out of Harvard to focus on building Microsoft. According to Forbes magazine, Bill Gates has held the position of the world richest man for thirteen consecutive years and he not showing a sign of letting go that position.


2. Thomas Edison: Thomas Edison was labeled dumb and scatterbrain by his school teachers but he went on to become one of the world’s greatest inventors and founded General Electric; one of the most powerful companies in the world.


3. Orji Uzor Kalu: He is one of the richest men on the soil of Africa. This young billionaire was rusticated from college for his participation in a student’s protest. Instead of lamenting over his predicament; he started trading on palm oil and from that humble beginning, he grew his business into a conglomerate “Slok Group.” Though he was later pardoned by the school authorities, he rejected the amnesty offer thereby refusing to return to school.


4. Li Ka Shing: Billionaire owner of Hutchinson Whampoa; one of the largest conglomerates in Hong Kong, with operations that span over fifty countries and more than 220,000 staff worldwide. Dropped out of school at the age of 15 and started out by selling watch bands.


5. Richard Branson: Best known for his adventurous spirit and outrageous business tactics. He dropped out of school at the age of 16 to start his first successful business venture; Student Magazine, bought his own 79-acre Caribbean island when he was just 24 and he was knighted in 1999. He is the billionaire founder of the Virgin brand and its 360 companies. His companies include the famous Virgin Atlantic Airways.


6. Lawrence J. Ellison: Larry Ellison dropped out of college twice and was told by his adoptive father that he would never amount to anything but he went on to become a billionaire by building Oracle, the world’s second largest software company.


7. Michael Dell: He dropped out of college at the age of 19 to start PC’s Limited; later renamed Dell Computers Inc. Dell became the most profitable PC manufacturer in the world making Michael Dell a billionaire.


8. Steve Jobs: Billionaire co-founder of Apple Inc and Pixar; dropped out of Reed College to start Apple.

9. Henry Ford: This automobile billionaire was born in abject poverty. He never saw the four walls of school but he went on to build Ford Motor Company and become one of the richest men that ever lived.


10. Walt Disney: Walt, regarded as the most influential animator because of his creativity with cartoons. He dropped out of high school at 16 and founded Walt Disney; a company which now has an annual revenue of about $30billion.


11. Ray Kroc: Billionaire Ray Kroc never saw the four walls of school and spent most of his life working as a salesman. He bought McDonald’s in 1961 for $2.7m and grew it into a multi billion dollar company.


12. Debbi Fields: A 20 year old housewife with no education and business experience started Mrs. Fields Chocolate Chippery and became the most successful cookie company owner. She later renamed, franchised, and then sold Mrs. Field’s Cookies.


13. Cosmos Maduka: Nigerian Elementary school drop out and billionaire founder of the Coscharis Group.

14. Ingvar Kamprad: Billionaire founder of IKEA. He dropped out of high school at the age of 17 to start IKEA; now the top home furniture retailer in the world, with over 90,000 employees working in its 200-plus stores, and annual revenues in excess of $10 billion.


15. Carl Lindner: Billionaire investor and founder of United Dairy Farmers. He dropped out of high school at the age of 14 to deliver milk for his family diary.

16. Simon Cowell: Famous for his involvement in American Idols, he dropped out of school at age 16 and started his own record label “Fanfare” at the age of 23.


17. Mary Kay Ash: Founder of Mary Kay Inc and best known as the most outstanding business woman in the 20th century. Mary never saw the four walls of school.


18. Coco Chanel: Fashion magnate and founder of the Coco Chanel brand, she never saw the four walls of school.

19. Wayne Huizenga: Wayne is the only person in history to build three Fortune 1000 companies practically from scratch: Waste Management Inc, Blockbuster Entertainment and AutoNation. He is the only person to have developed six NYSE-listed companies. He also owns the Miami Dolphins and is previous owner of the Florida Marlins baseball team and the Panthers hockey team, making him the only person ever to own three pro teams in a single market, two of which won national championships. He dropped out of college to join a friend in a garbage collection business.

20. Barry Diller: This billionaire media magnate dropped out of college to start Fox Broadcasting Company. He is chairman of Expedia, and was once the CEO of IAC/InterActiveCorp which includes Home Shopping Network and Ticketmaster.


21. Andrew Carnegie: Founder of Carnegie Steel Company and one of the richest men that ever lived. Born in abject poverty, Andrew never saw the four walls of school.


22. Sir Philip Green: Billionaire retail mogul and owner of the Arcadia brand, he dropped out of school at the age of 16. After four business failures, Philip Green made his first million at the age of 33.


23. Madame C. J. Walker: She was born into the family of ex-slaves and farmers. Despite being widowed at the age of 20 and faced with extreme hardship, she started a cosmetics business and went on to become the first American self made female millionaire.


24. Mark Zuckerberg: The youngest billionaire in the world, dropped out of Harvard to promote his social networking platform; Facebook. As at 2010, he was 23 years and worth $4billion.

25. Ted Turner: Billionaire drop out media mogul and founder of CNN; pledged a billion dollars to the United Nation.


26. Cornelius Vanderbilt: Dropped out of school at the age of 11, began operating his own boat at the age of 16 and became one of the richest men in history.


27. Mayer Amschel Rothschild: was born in a ghetto; started business as a money lender and built the largest private fortune in history. He never saw the four walls of school.


28. Ty Warner: Billionaire real estate investor, hotel owner, sole owner, CEO, and Chairman of Ty, Inc. Ty Warner is a savvy, yet private business man. Ty, Inc; made $700 million in a single year with the Beanie Babies craze without spending money on advertising. He has since expanded to include Ty Girlz dolls, directly competing with Bratz dolls.

29. Howard Hughes: Dropped out of California Institute of Technology and Rice University; founded Hughes Aircrafts and Co and went on to become a billionaire.


30. Giorgio Armani: Billionaire founder of the fashion brand; Giorgio Armani S.P.A. Dropped out of medical school at the University of Bologna because he couldn’t stand the sight of blood.


Successful Entrepreneurs and World’s Richest School Drop Out Billionaires
31. Asa Candler: Founder of the Billionaire company and world’s most popular brand; Coca Cola. He dropped out of school at the age of 10.

32. Jenny Craig: With no college degree, this woman started Jenny Craig Inc from scratch and grew it to become one of the largest and most recognized companies in the weight management industry.
33. Rachael Ray: Despite having no formal training in culinary arts, Rachel Ray made a name for herself in the food industry. With numerous shows on the Food Network, a talk show and cookbooks, high-energy Rachael never slowed down. She has also appeared in magazines as well has having her own magazine debut in 2006.

34. Milton Hershey: With only a fourth grade education, Milton Hershey started his own chocolate company. Hershey’s Milk Chocolate became the first nationally marketed chocolate.

35. Frank Lloyd Wright: surpassed all odds to become the most influential architect of the twentieth century. Frank Lloyd Wright designed more than 1,100 projects with about half actually being built. He never saw the four walls of high school.

36. David Geffen: billionaire founder of Geffen Records and co-founder of DreamWorks.


37. Billy Joe (Red) McCombs: founder of Clear Channel media, real estate investor.

38. Craig McCaw: billionaire founder of McCaw Cellular.

39. Dave Thomas: billionaire founder of Wendy’s.


40. ay Van Andel: billionaire co-founder of Amway.

41. Micky Jagtiani: billionaire retailer, Landmark International

42. John Paul DeJoria: billionaire co-founder of John Paul Mitchell Systems and Patron Spirits tequilla.

43. David Green: billionaire founder of Hobby Lobby.

44. Frederick “Freddy” Laker: billionaire airline entrepreneur.

45. Kirk Kerkorian: billionaire investor, owner of Mandalay Bay and Mirage Resorts, and MGM movie studio.

46. Leandro Rizzuto: billionaire founder of Conair

47. Leslie Wexner, billionaire founder of Limited Brands.

48. Marc Rich: billionaire commodities investor and founder of Marc Rich & Co.

49. S. Daniel Abraham: billionaire founder of Slim-Fast.

50. Theodore Waitt: billionaire founder of Gateway Computers.

51. Y.C. Wang: billionaire founder of Formosa Plastics.

52. Paul Allen: billionaire
Mwenzenu ameuliza swali LA kisayansi kabisa, kama 2012 walimaliza darasa LA saba ni laki nane plus na from six 79 elfu plus je Hao wengine ni nini? Kuanzia kutaja matajiri wachache ambao hawakumaliza shule duniani wakati tanzania Hakuna sio Sawa. Usialalishe ujinga wa watu wengine na kutokwenda shule ukaona Sawa. Hao matajiri hawawezi kuwa matajiri kama hawatumii wasomi kuwaletea utajiri. Matajiri Hao uliowataja ni proportional ndogo sana ya population Ya Dunia. Tu discuss Tanzania yetu tu
 

Carica_papaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
487
500
Mwenzenu ameuliza swali LA kisayansi kabisa, kama 2012 walimaliza darasa LA saba ni laki nane plus na from six 79 elfu plus je Hao wengine ni nini? Kuanzia kutaja matajiri wachache ambao hawakumaliza shule duniani wakati tanzania Hakuna sio Sawa. Usialalishe ujinga wa watu wengine na kutokwenda shule ukaona Sawa. Hao matajiri hawawezi kuwa matajiri kama hawatumii wasomi kuwaletea utajiri. Matajiri Hao uliowataja ni proportional ndogo sana ya population Ya Dunia. Tu discuss Tanzania yetu tu
Huo Mfano nilioutoa hapo wewe unauona hauna maana but unamaana kubwa sana.
Hivi unajua kila mwaka Tz hasa matokeo ya F4 yanapotangazwa kuna Wanafunzi huwa WANAJIUA kwa sababu Walifeli mitihani.
Mimi nafanya Awareness kuwa sio lazima mtu afike F6 au University ndio Afanikiwe Kimaisha. Ndivyo ilivyo!!!
Hao vijana Wanaoamua KUJIUA ni kutokana na kuzungukwa na jamii kama wewe ambao mnaamini lazima mtu afike F6 au Universities.
Sasa unaponiuliza hao dropper out wapo wapi.
Hilo ni childish Qn.
Mtu anaweza kuamua kufanya Biashara zake au aka opt kwenda VETA, Certificate, Diploma
Na bado yupo sahihi tu.
Nashangaa Mbunge anaeuliza swali bungeni anataka kujua kwa nini ufaulu umepungua ktk mwaka husika!!
Dont try to play with Education system. Wanaofaulu tu ndio waendelee ngazi husika wengine watumie other Alternative means.
Huwezi kulazimisha Ufaulu uwe 80% utaua Taifa!!
We need High & Quality Workforce!!
 

double R

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,231
2,000
Hoja ya mtoa mada ni ya msingi sana.
Yaani kati ya laki 8 wamebaki 79,000.
10% ya waliomaliza darasa la saba 2012 ndo wataenda chuo kikuu.

Yaani kwenye shule ya msingi kama darasani wako 100 ni 10 tu ndo wataweza chuo kikuu.

Wengi wamebaki hapa kati.
Je hawa wengine wameenda wapi?
Je tunavyo vyuo vya kati kutosha hao walioishia chini?
Je sokoni wanauzika?
Je asilimia 10% inatosha kwa maendeleo ya nchi?
 

Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,363
2,000
Sio kwa bahati mbaya. Imefanywa kwa makusudi. Hawa F6 wanatarajiwa wawe think tank kwa maendeleo ya taifa. Hawatakiwi kuwa wengi. Wengine watafanya majukumu mingine kama vile biashara. Ufundi mchundo, ualimu wa shule za msingi nk
 

Carica_papaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
487
500
Hoja ya mtoa mada ni ya msingi sana.
Yaani kati ya laki 8 wamebaki 79,000.
10% ya waliomaliza darasa la saba 2012 ndo wataenda chuo kikuu.

Yaani kwenye shule ya msingi kama darasani wako 100 ni 10 tu ndo wataweza chuo kikuu.

Wengi wamebaki hapa kati.
Je hawa wengine wameenda wapi?
Je tunavyo vyuo vya kati kutosha hao walioishia chini?
Je sokoni wanauzika?
Je asilimia 10% inatosha kwa maendeleo ya nchi?
Hivi unajua since 2012 kuna Watu waliomaliza Std 7
1. Ni senior Clinical Officers, Pharmacist, Nurses , Technicians, primary teachers, Livestock officers, Agriculturist, Community development officers, Record keeping officers Wanakula Mishahara
2. Kuna Wafanya biashara wakubwa
3. Kuna Wanasiasa wakubwa tu
4. Kuna Specialists Doctors, Flight Engineers , Pilots walienda kusoma abroad after F4
Wewe endelea kukariri Formal education eti wapo wapi???
Kuna kijana alikua senior Graphic Desiger Global publisher company amezaliwa 1996 he died this week alifanya zake professional course after f4.
Wewe endelea kukariri F6 & Universities zikuletee maendeleo!!!
 

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,024
2,000
Sio kwa bahati mbaya. Imefanywa kwa makusudi. Hawa F6 wanatarajiwa wawe think tank kwa maendeleo ya taifa. Hawatakiwi kuwa wengi. Wengine watafanya majukumu mingine kama vile biashara. Ufundi mchundo, ualimu wa shule za msingi nk
Hadi tunapata uhuru shule za serikali zilikuwa mbili tu Bwiru Boys na Tabora boys nazo zilikuwa za kufundishia makarani, Mwl mwenyewe anasema alisoma ili aje kuwa tarishi ndio kazi pekee aliyokuwa akiijua alivyofika Tabora Boys akajua kuna kwenda makelele na mwishowe akajikuta yuko mwalimu kazi aliyokuwa haipendi toka mwanzo. Sasa kama mawazo yenu ni sahihi kilichowafanya muongeze mashule ni nini? Simngeacha tuendelee na hizohizo mbili!
 

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,024
2,000
Sio kwa bahati mbaya. Imefanywa kwa makusudi. Hawa F6 wanatarajiwa wawe think tank kwa maendeleo ya taifa. Hawatakiwi kuwa wengi. Wengine watafanya majukumu mingine kama vile biashara. Ufundi mchundo, ualimu wa shule za msingi nk
Kwa uchumi unaokuwa kwa 7% hao 10% wanatoisha kuwa think tank ya taifa? kisayansi kila wafanyakazi sita wanapaswa kusimamiwa na mtu mmoja na kisifa anapaswa kuwa graduate, je kwa uwiono huo tunayo nguvu kazi yenye sifa?
 

Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,363
2,000
Kwa uchumi unaokuwa kwa 7% hao 10% wanatoisha kuwa think tank ya taifa? kisayansi kila wafanyakazi sita wanapaswa kusimamiwa na mtu mmoja na kisifa anapaswa kuwa graduate, je kwa uwiono huo tunayo nguvu kazi yenye sifa?
Tukichukua watu 80,000 ambao kama ingekuwa ndo mwaka huu wanaanza kazi, ungehitaji watu laki nane waajiriwe ili wawasimamie - kwa hoja yako - jee bado ni kidogo? Najua hakuna wakati serikali imeajiri hata watu 20,000 kwa mwaka. Kwa mtazamo huo idadi hiyo inatosha na wengine wabakie hawana kazi.
 

Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,363
2,000
Hadi tunapata uhuru shule za serikali zilikuwa mbili tu Bwiru Boys na Tabora boys nazo zilikuwa za kufundishia makarani, Mwl mwenyewe anasema alisoma ili aje kuwa tarishi ndio kazi pekee aliyokuwa akiijua alivyofika Tabora Boys akajua kuna kwenda makelele na mwishowe akajikuta yuko mwalimu kazi aliyokuwa haipendi toka mwanzo. Sasa kama mawazo yenu ni sahihi kilichowafanya muongeze mashule ni nini? Simngeacha tuendelee na hizohizo mbili!
Ni kutokana na ongezeko la idadi ya watu na nguvu kazi. Wakati tunapata uhuru tulikuwa milioni saba. Hadi mwaka 2018 tulikuwa zaidi ya 53 milioni na pia mahitaji ya nguvu kazi yameongezeka sana.
 

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,024
2,000
Tukichukua watu 80,000 ambao kama ingekuwa ndo mwaka huu wanaanza kazi, ungehitaji watu laki nane waajiriwe ili wawasimamie - kwa hoja yako - jee bado ni kidogo? Najua hakuna wakati serikali imeajiri hata watu 20,000 kwa mwaka. Kwa mtazamo huo idadi hiyo inatosha na wengine wabakie hawana kazi.
Tunahitaji DATA nyingi zaidi katika kuangalia nguvukazi ya taifa, tujue job drop out ni wangapi hizi data ssra wanaweza tupatia, tujue wangapi wanaingia kwenye biashara sijui kama tra wana hii assignment, walioingia kwenye ujasiliamali sijui kama sido wanazo data, kwangu mie work force ya nchi hii ni kidogo sana na haina tija kwani wengi hawana job skill stahiki.
 

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,024
2,000
Ni kutokana na ongezeko la idadi ya watu na nguvu kazi. Wakati tunapata uhuru tulikuwa milioni saba. Hadi mwaka 2018 tulikuwa zaidi ya 53 milioni na pia mahitaji ya nguvu kazi yameongezeka sana.
kama ni hivyo situnahitaji kuwa na national manpower inayoendana na kasi ya maendeleo, au?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom