Mawazo yako ndio ya wanasiasa wetu. Mtoa mada ana hoja kubwa, wahitimu f6 tuwategemeao kuingia vyuo vikuu kupata taaluma ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watu wa nchi. Maendeleo ya nchi huletwa na RAIA kwenye elimu ya kutosha. Huwezi ringanisha machinga, mama Lishe au kuuza duka wa std7 au f4 na graduate. Kuwa na wajinga wengi ni mradi wa watawala wasiojiamini, kwani ni rahisi kumtawala mjinga.Kumbuka F6 ni Formal education
1. Kuna watu wanamaliza Std 7 wanadrop na ku opt kufanya Biashara+ Ufundi
2. Kuna wanaomaliza F4 wanadrop au kuopt kufanya VETA+ Diploma+ Certificates
Na hii kauli ya Politicians kuwa mbona % flani ni ndogo mimi siiamini kabisa. Not necessary ufike F6 au University ndo ueze kuendeleza nchi.
Mtu aliemaliza std 7 aka opt Ufundi au F4 alieamua kufanya VETA anaweza kuwa the best ktk industry kuliko hao unaowataka % yao iongezeke F6.
3. Usi force kila mtu afike F6 au Universities!! Anaweza akafika F6 akapata Div 0 au IV !!
Elimu ni Facts= Science Mtihani umewekwa anaefaulu hata akiwa kijijini basi acha apite. Anaefeli afanye mambo mengine.
4. Tusiabudu White color job sio lazima kufika F6 + university
, hana uwezo wa kuhoji.