Waliohamia CCM, Warudi CHADEMA....

Waliohamia CCM, Warudi CHADEMA....

Daaaah nawaonea wivu kanda ya kaskazini aseee, nataka na sisi kanda ya Kusini tungekua na hiyo misimamo daaah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Watanzania wengi hawajui wanachokitaka. Tunazunguka kwa miaka 50 sasa wakati safari yenyewe ni miaka 20 tu.

Vv
 
Sasa kwanini wavunje c wangebadilisha Rangi tu na maandishi ya CDM
 
Kimenuka....

CCM mkae mkijua Kanda ya Kaskazini ni ngumu.....Wenyewe wanakwambia tunakula CCM tunalala Chadema....

Nikikumbuka zile pikipiki 400 za Arusha daaah
Kwa hiyo wakikalia ka eneo kamoja tena ambako hakafikii hata nusu ya wakazi wa Kanda ya Ziwa katawapa nchi?
 
Kwa hisani ya Malisa GJ.

Tarehe 14/07/2017 CCM ilitangaza kuwa baadhi ya wanachama wa Chadema mtaa wa KDC, Moshi wamejiunga na CCM. Wanachama hao walipokelewa na aliyekuwa msemaji wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga, ambaye kwa sasa ni Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa wa CCM, na kujengewa shina mtaani hapo. Vijana hao baada ya kusikia madiwani wa Chadema Arumeru walinunuliwa kwa rushwa, wameamua kuvunja msingi huo uliojengwa kwa ajili yao na kutangaza kurudi Chadema.!

View attachment 601042
Jeshi na siasa wapi na wapi? Au ukishakuwa mstafu wa jeshi unaeuhusiwa kufanya siasa?? Viapo vya wanajeshi vinasemaje kuhusu mwanajeshi kuwa na chama???
 
Kwa hiyo wamesusa? walitaka na wao wapewe hela? waache wasuse. wakisusa wenzao wala.
 
Kwa hisani ya Malisa GJ.

Tarehe 14/07/2017 CCM ilitangaza kuwa baadhi ya wanachama wa Chadema mtaa wa KDC, Moshi wamejiunga na CCM. Wanachama hao walipokelewa na aliyekuwa msemaji wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga, ambaye kwa sasa ni Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa wa CCM, na kujengewa shina mtaani hapo. Vijana hao baada ya kusikia madiwani wa Chadema Arumeru walinunuliwa kwa rushwa, wameamua kuvunja msingi huo uliojengwa kwa ajili yao na kutangaza kurudi Chadema.!

View attachment 601042
CHADEMA imewapokea hao wasaliti????
 
Back
Top Bottom