Kumbe CDM inaamini katika ushirikina?
Kumbe CDM inaamini katika ushirikina?
Sikijui naomba unifahamishe...ADC ni chama gani hiki kipo Tanzania au Kenya.
je umethibitisha mkuu..
Wao walifikiri nani atakuwa wa kwanza kuzitest? Huwezi mpa mtu mwenye njaa sanda, huyo jamaa kadhalilisha sana watu wa kusini. Na hiyo misikiti iliyopokea ina maana walishaona kipaumbele ni sanda tu. Siyo shule, dawa, maji etc? Sidhani kama makanisa yangepokea ujinga huu.
Kuna vitu vinaitwa superstition na bad omen kwamba ukimwish mtu yamkute mabaya, lazima hayo mabaya yakurudie!.
Kaburi likichimbwa ili kuzikia, ikitokea sababu yoyote mwili ukachelewa hivyo mazishi ni kesho yake, kaburi lile lazima lifukiwe na kesho yake litachimbwa tena kwa hoja kuwa haliwezi kulala wazi!. Eti likilala wazi mtu wa ukoo huo atakufa usiku huo!.
Kuna hoja kuwa mtu akiigiza amekufa na kuingia kwenye jeneza, mtu huyo hatimaye hufa!. Yule muigizaji aliye act kwenye wimbo wa Mwana FA na Lady JD, " Alikufa kwa ngoma" aka act kwenye jeneza, alikuja kufa muda mfupi baada ya kuactia kwenye jeneza!.
Wale wazungu waliolifungua pyramid la Tunkamenan huko Misri walikufa ghafla mmoja baada ya mwingine na uchunguzi wa miili yao haukuweza kugundua chanzo cha kifo hivyo kuelezwa wamekufa 'natural death'!.
Hakuna uthibitisho wa scientific linkage kati ya matukio hayo ya kugawa sanda na vifo vilivyofuatia, its just an amaizing coincidence!.
Mbunge! labda kama hana nauli ya kuendea Bwagamoyo.