mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,313
Hii karata hata CCM hawaelewi waipindue vipi ionekane haina kona kona mingi
subiri uone maajabu.
Hii karata hata CCM hawaelewi waipindue vipi ionekane haina kona kona mingi
Huyo Halima aombee ma-trilioni yaje yasipokuja sidhani kama atathaminiwa kwa chochote maana lengo kuu ni ma-trilioni siyo Halima na wenzake.Kusema ukweli Magufuli mpe kazi halima mdee,si rahisi kwa mwanamke kuwa jasiri kama hivyo,kwa nchi inayojulikana kama haiheshimu demokresia kubadili msimamo na kama mwanamke pia kuwa that strong tells you something, huyu kamanda sio kwamba hakujua sie wapiga kelele wa mtandaoni tutaongea mbovu,alijua na bado akasimamia anachotaka... Halima do your thing,wengi wetu tunaongea mbovu kwenye comfort zone ya majumbani kwetu infront of laptop/computer...VITA uliyopigana ukiwa in the real environment..ni vita halisi from the real ground, NONE of US can fight in the 'real' war as you have DONE and if they dont appreciate the hard work you did for the party and the country I DO!
Team Mdee wasimamie walichoamua kukisimamia. There’s no turning back; wasije wakageuka mawe bure!
Chama kiliingia completely kwenye catch-22 situation. A political loss was imminent, no matter how the party chose to respond. Tukisema Upinzani hawajakomaa kwenye hii sanaa ya siasa, wanaanza kuturushia matusi kama kawaida yao!
Stop kueneza this cheap and nonsense politics. Wewe uliekomaa umefanya nini?
Ndiyo battle ground aliyoichagua. Wewe unadhani hai unaowafikiria kwamba wametulia tuli wenyewe hawana battle ground. Unadhani kuwa na access ya ku comment kwenye social medias inamfanya awe so special kwamba hana vita yoyote ya kimaisha? Kwamba yupo anakula good time?
Unadhani ni nani walipambana bega kwa bega na Halima? Ni nani waliotumia social media kuitangazia dunia dhurma aliyofanyiwa Halima?
Ni jambo baya kufikiria eti waliopo kwenye social media hawana msaada au hawajui pains. Unadhani ni kwanini serikali iliamua kupiga ban Internet nchi mzima
Wow,hold on..laptop/computer...VITA uliyopigana ukiwa in the real environment..ni vita halisi from the real ground, NONE of US can fight in the 'real' war as you have DONE and if they dont appreciate the hard work you did for the party and the country I DO!
Ukomavu haupimwi ktk wingi wa miaka kuna watu wazima ambao Wana maamuzu ya kitoto na kuna watoto wenye maamuzi ya kijituzimamtu ana 15 years kama mwanassiasa unamuita hajakomaa?!
Acha kumpa moyo kwa tamaa zake, asipate shida aunge mkono tu juhudi.Alichokifanya in NonsenseKusema ukweli Magufuli mpe kazi halima mdee,si rahisi kwa mwanamke kuwa jasiri kama hivyo,kwa nchi inayojulikana kama haiheshimu demokresia kubadili msimamo na kama mwanamke pia kuwa that strong tells you something, huyu kamanda sio kwamba hakujua sie wapiga kelele wa mtandaoni tutaongea mbovu,alijua na bado akasimamia anachotaka... Halima do your thing,wengi wetu tunaongea mbovu kwenye comfort zone ya majumbani kwetu infront of laptop/computer...VITA uliyopigana ukiwa in the real environment..ni vita halisi from the real ground, NONE of US can fight in the 'real' war as you have DONE and if they dont appreciate the hard work you did for the party and the country I DO!
Msiojua, kikao cha KK juzi kilikuwa na lengo la kukitoa chama ktk mtanziko. Kuwasimamisha uongozi wateule 19 ni wa kimkakati kutuliza sintofahamu ya wanachama kwa kosa walilofanya kupeleka majina NEC. Kama wateule hawa wataomba msamaha ujue ndio lengo la kikao kile. Kuonyesha kuwa sio viongozi waliopeleka majina na kuwa watuhumiwa wameomba msamaha sasa tuwasamehe. Chadema haijawahi kufukuza mwanachama kisha kumpa siku 30 atafakari, wamefanyamhivi safari hii kuiondoa Chadema ktk Aibu ya kula matapishi yao ya sitaki nataka. Ukweli wanavihitaji viti hivi lakini kwa uungwaji mkono na wanachama. Walikosea na njia ya kutokea ilikuwa lazima iwe hivi. Hawa wote ktk siku 30 walizopewa kimkakati wataomba msamaha na maisha yataendelea huku wanachama wakipiga makofi. Ukitaka kulijua hili jiulze kwa nini mbunge wa Mpanda hajachukuliwa hatua kwa kukiuka maagizo ya chama kutotambua matokeo? Jiulize mke wa Bananga (Kampeni meneja wa Lissu) inawezekanaje aende kuapishwa Dodoma bila mume wake kujua wala asiripotie uongozi mipango hii.Habari wadau. Yajayo yanafurahisha.
Waliokuwa Wabunge wa Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa BAWACHA wenzao na Wanachama kwa ujumla.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Dada mmoja kutoka Mbeya ameungana na wenzake na wameanza kushinikiza ili waende kuonana na mwenyekiti ili kuomba msamaha.
Jambo hili limeathiri mpango wa pamoja wa kutoa tamko kulaani kuvuliwa uanachama, kutokana na baadhi kutokubaliana na matamshi yanayokinzana na misimamo yao.
Muda unakwenda kasi, muda si mrefu tutasikia mapya juu ya mchongo mzima wa jinsi suala hili lilivyokuwa, watasema wenyewe na tutaelewa vizuri.
unaweza kuthibitisha hilo la wanajeshi wa kukodi?Unadai upinzan hawajakomaa halafu serikali yako inakodi mpaka majeshi toka ya burundi kupambana nao??., kwa vyovyote wewe ni mwehu pia ww n crazy.
kwa mfano wewe ulale selo,upitie changamoto zote alizopitia for the last 15 years JIULIZE ungeweza?..kwa nini hamrecorgnise her hard work???
Hii siyo hoja.kwa mfano wewe ulale selo,upitie changamoto zote alizopitia for the last 15 years JIULIZE ungeweza?..kwa nini hamrecorgnise her hard work???
Mwenyekiti naye amewaambia waombe msamaha ili warudishiwe uanachama wao.... Hii biashara inafahamika kwa mwenye chamaHalima Mdee anasema na nishukuru mwenyekiti wangu wa chama kwa kuturuhusu,... Aisee..!
Mkuu Rebeca 83, nadhani Halima alipo chagua kufanya active politics tena kupitia upinzani alijua ni njia gani atapita (hardships).
Sisi unaetuambia tupo kwenye 'confort zone' nasi tulichagua kuwa huku baada ya kujipima na kuona hatuwezi kuwa 'wanasiasa wa majukwaani', politics being a game...kuna 'wachezaji' na 'mashabiki' so wote hatuwezi ingia uwanjani.
Unless Halima akiri kuwa hajui nafasi aliyoiomba na akaaminiwa for good 15 years na hao unaosema wako 'comfort zone'.
Amebambikwa kesi kibao na hao hao aliojiunga nao na watu walisimama kumtetea, ametukanwa na kudhalilishwa sana na hao aliojiunga nao bado tulimtetea, hata walipomfunga kwa hila tulimchangia kutoka jela na muda mfupi baada ya kifungo wakamvunja mkono bado tulisimama naye.
Unawezaje kusema kuwa tulio kwenye 'comfort zone' hatukutimiza nafasi yetu kwake na kwenda mbali kumuita 'jasiri' kwa usaliti anaotufanyia leo?!
Hii siyo hoja.
Umeandika nini hiki? kwako Mdee ni jasiri? una matatizo. Askari aliewageuka wenzake vitani unamuita jasiri!Kusema ukweli Magufuli mpe kazi halima mdee,si rahisi kwa mwanamke kuwa jasiri kama hivyo,kwa nchi inayojulikana kama haiheshimu demokresia kubadili msimamo na kama mwanamke pia kuwa that strong tells you something, huyu kamanda sio kwamba hakujua sie wapiga kelele wa mtandaoni tutaongea mbovu,alijua na bado akasimamia anachotaka... Halima do your thing,wengi wetu tunaongea mbovu kwenye comfort zone ya majumbani kwetu infront of laptop/computer...VITA uliyopigana ukiwa in the real environment..ni vita halisi from the real ground, NONE of US can fight in the 'real' war as you have DONE and if they dont appreciate the hard work you did for the party and the country I DO!